Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kavishe: Mabeberu wana chuki na Muungano

ALIYEKUWA Katibu Msaidizi wa Siasa wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waadili Kavishe, amesema kuna  juhudi za mabeberu na wakoloni wasiotaka kuiona Tanzania ikidumu katika Muungano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tendwa: Wana chuki na kinyongo na mimi

Msajili wa zamani wa vyama vya siasa, John Tendwa amesema licha ya kustaafu kazi hiyo, bado kuna baadhi ya viongozi wa Chadema wana chuki na kinyongo dhidi yake.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI AWAASA WANA DMV KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO

Embassy pics 016Mh.Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Liberata Mula mula akizungumzia maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano ofisini kwake Washington Dc Jumatano, Aprili 23, 2014. Embassy pics 037Mwenyekiti mwenza wa kamati ya maandalizi afisa ubalozi Suleiman Saleh akijibu maswali ya mabloger wa DMV,kulia kwake ni Dickson Mkama wa Swahili TV blog. Embassy pics 018Mh, balozi akijibu maswali kushoto ni Sunday Shomari na kulia kwa balozi ni Mubelwa Bandio wa Kwanza production. Embassy pics 007Mh.balozi akishauriana jambo na mkuu wa kitengo cha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jinsi rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na Tanga I lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo.

 

5 years ago

CCM Blog

MAPIGO 6 YA JPM KWA MABEBERU KATIKA KIPINDI HIKI CHA CORONA.

Image may contain: 1 person, sitting1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasema tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30
*PIGO LA KWANZA HILO*2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watanzania kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
*PIGO LA PILI HILO*3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie tusifanye kazi watuletee misaada kwa masharti yao JPM akasema no HAPA KAZI TU wakashindwa.
*PIGO LA TATU HILO*4:Wakaleta vipimo feki ili watanzania wengi...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

11 years ago

Michuzi

George kavishe azungumzia maandalizi ya Kilimanjaro Tanzania music Awards (KTMA) 2014 yanayofanyika leo mlimani City jijini Dar es salaam

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

 

11 years ago

GPL

GEORGE KAVISHE AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA) 2014 YANAYOFANYIKA LEO MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani