Tendwa: Wana chuki na kinyongo na mimi
Msajili wa zamani wa vyama vya siasa, John Tendwa amesema licha ya kustaafu kazi hiyo, bado kuna baadhi ya viongozi wa Chadema wana chuki na kinyongo dhidi yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Kavishe: Mabeberu wana chuki na Muungano
ALIYEKUWA Katibu Msaidizi wa Siasa wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waadili Kavishe, amesema kuna juhudi za mabeberu na wakoloni wasiotaka kuiona Tanzania ikidumu katika Muungano...
10 years ago
Bongo Movies25 May
Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...
10 years ago
Bongo525 May
Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala
10 years ago
Michuzi9 years ago
Habarileo22 Dec
Waziri Mkuu asema hana kinyongo
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hana kinyongo na mtu yeyote kwa sababu alitangaza msamaha siku aliyokabidhiwa cheti kuwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na kusisitiza kuwa siasa ziliisha tangu Oktoba 25, mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
SAID MBELWA: Bondia anayetumikia kifungo kwa kinyongo
SAID Mbelwa si jina geni masikioni hata machoni mwa wapenzi na mashabiki wa masumbwi nchini. Hii inatokana na kuwa miongoni mwa mabondia mahiri kwa sasa ambao uwezo wao, umekuwa ndio...
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Tendwa awapa siri wapinzani
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Warioba kaa pembeni -Tendwa
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Tendwa: Serikali ibadili upangaji alama za ufaulu
ALIYEKUWA Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, ameitaka Serikali kufanya mabadiliko ya haraka juu ya mfumo finyu wa upangaji wa alama za ufaulu ‘New Grading System’. Tendwa, alitoa...