Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tendwa: Serikali ibadili upangaji alama za ufaulu

ALIYEKUWA Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, ameitaka Serikali kufanya mabadiliko ya haraka juu ya mfumo finyu wa upangaji wa alama za ufaulu ‘New Grading System’. Tendwa, alitoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

NECTA yafafanua alama za ufaulu kidato cha nne

Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles MsondeBARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla, ambavyo vimetumika kwa mara ya kwanza mwaka huu.

 

9 years ago

GPL

KIPIMO CHAONESHA MAGUFULI ALAMA 6, LOWASSA ALAMA 9

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. WAKATI kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikizidi kupamba moto, vipimo vinaonesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ana alama 6 na wa Ukawa, Edward Lowassa ana alama 9 katika mambo mbalimbali ya kikazi, Uwazi linachambua. Uwazi lilianza kwa kuchimba kwenye upande wa mambo yaliyozua maswali mengi ambapo kipimo kinaonesha...

 

11 years ago

Habarileo

‘Ufaulu shule za Serikali, binafsi haupishani’

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru KawambwaSERIKALI imesema pamoja na matokeo ya kidato cha nne kuonesha hakuna shule zake zilizoshika nafasi katika 10 bora, hali ya ufaulu ni nzuri na haipishani na zisizo za Serikali.

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA ELIMU WAITAKA SERIKALI KUPANDISHA WASTANI WA UFAULU

Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyuo na shule(TAMONGSCO) Taifa, Leonard Mao, akizungumza katika mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama hicho Kanda ya Mbeya uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Saut tawi la Mbeya.Mwenyekiti wa Kanda ya Mbeya wa Tamongsco, Mzee Asanga akitoa utambulisho katika mkutano huo.Wamiliki wa Shule na Vyuo, Wakuu wa Shule na Mameneja wakiwa kwenye mkutano mkuu wa Mwaka wa Tamongsco Kanda ya Mbeya.CHAMA cha wamiliki wa vyuo na shule zisizokuwa za Serikali(TAMONGSCO)...

 

10 years ago

Michuzi

MSD YAKUBALI AGIZO LA SERIKALI KUWEKA ALAMA KATIKA DAWA NA VIFAA TIBA

NA CHALILA KIBUDA GLOBU YA JAMII,DAR
KAIMU Mkurugenzi  Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD),Cosmas Mwaifwani amesema bohari ya dawa imepokea agizo la serikali kuweka alama katika dawa  za umma pamoja na vifaa tiba ili kuweza kudhibiti upotevu wa dawa pamoja na vifaa tiba.
Mwaifwani aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati  bohari hiyo katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Alisema katika mkakati mwingine ni kuanzisha maduka ya jumla...

 

10 years ago

Mwananchi

Cecafa ibadili haraka mfumo wa mashindano

Baraza la Vyama vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), lilikutana Desemba 15, kujadili mustakabali wa mashindano ya Kombe la Chalenji na mashindano mengine yanayosimamiwa na baraza hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba kaa pembeni -Tendwa

Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuacha kuitetea Rasimu ya Katiba kwa maelezo kuwa kazi yake ilikuwa ni kuiandaa na siyo kushawishi kila mtu akubaliane nayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tendwa awapa siri wapinzani

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani nchini vimekuwa vikisimamisha wagombea katika Uchaguzi Mkuu na kuambulia patupu mbele ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini sasa vimepewa somo la kushinda katika uchaguzi huo na aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tendwa: Wana chuki na kinyongo na mimi

Msajili wa zamani wa vyama vya siasa, John Tendwa amesema licha ya kustaafu kazi hiyo, bado kuna baadhi ya viongozi wa Chadema wana chuki na kinyongo dhidi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani