Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIPIMO CHAONESHA MAGUFULI ALAMA 6, LOWASSA ALAMA 9

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. WAKATI kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikizidi kupamba moto, vipimo vinaonesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ana alama 6 na wa Ukawa, Edward Lowassa ana alama 9 katika mambo mbalimbali ya kikazi, Uwazi linachambua. Uwazi lilianza kwa kuchimba kwenye upande wa mambo yaliyozua maswali mengi ambapo kipimo kinaonesha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CCM yajivunia alama za Magufuli

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kujivunia kukubalika kwa mgombea wake wa urais, Dk John Magufuli, kutokana na kazi alizofanya kuonekana katika kila mkoa na kila wilaya.

 

9 years ago

GPL

ALAMA ZINAZOTUMIWA NA FREEMASONS


Mpenzi msomaji wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikizungumzia vikao vya Freemasons ambapo huwa mwenyekiti wao wanamwita Master na anakuwa na wasaidizi wawili. Kwenye ibada zao mwenyekiti huwa anakaa upande wa Mashariki, msaidizi mmoja anakaa mbele yake akimtazama na mwingine anasaidia shughuli nzima inayoendelea. Kunakuwa na mtu mwingine ambaye ndiye mwongozaji wa sala na wakati wakisali huwa Mungu wanamwita Fundi Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Matumizi ya alama za vituo

Matumizi ya alama za vituo ni mada ambayo nimeandikia makala chache na wiki iliyopita nilieleza juu ya matunizi ya nukta, mkato na nuktapacha. Kwa mwandishi yeyote anayeandika makala au taarifa kwa Kiswahili hana budi  kujua matumizi ya alama hizi pamoja na nyingine zinazofuata.       Katika makala haya nataka sasa kuendelea na mada hii kwa kueleza matumizi ya  alama nyingine kama alama ya mshangao, kiulizo, mshangao, mabano,  na ritifaa. 

 

9 years ago

Mtanzania

Samia alia na alama ‘V’

IMG_0273 (1280x853)NA SARAH MOSSI, KOROGWE

 

MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesema alama ya ‘V’ haijawahi kushika dola duniani kote.

Samia, alisema hayo jana  alipokuwa akizungumza na wananchi katika eneo la Mombo akiwa njiani kuelekea wilayani Lushoto.

“Sasa hivi vurugu tupu, utawala wa nchi si wa kujaribu, wapeni wenye uthabiti, waliosimama imara na  uwezo ndugu zangu, sumu haionjwi,”alisema Samia.

Mapema akiwahutubia wananchi wa Korogwe mjini katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi, Samia...

 

9 years ago

Michuzi

11 years ago

BBCSwahili

Sakata la mtafsiri wa lugha ya alama SA

Serikali ya Afrika Kusini imesema kampuni iliyomtoa watafsiri wa lugha za ishara wakati wa ibada ya kumbu kumbu imekuwa akidanganya kwa miaka mingi na imekuwa itoa watafsiri wenye kiwango cha chini.

 

11 years ago

Habarileo

NIDA wachukua alama Pemba

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanza usajili na uchukuaji wa alama za kibayolojia kwa wakazi wa Pemba visiwani Zanzibar.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanafunzi mwerevu apata alama 0 !

Utata mkubwa umeibuka nchini Misri baada ya matokeo ya mtihani kuonesha mwanafunzi mwerevu hakupata hata alama moja kwenye masomo yote 7

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji watachukuliwa alama za vidole

Mawaziri wa Ulaya wataka alama za vitambulisho za wahamaiji zichukuliwe na orodha ya nchi "salama" iwepo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani