Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIDA wachukua alama Pemba

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanza usajili na uchukuaji wa alama za kibayolojia kwa wakazi wa Pemba visiwani Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NIDA IMEUNDWA KWA MUJIBU WA SHERIA NA MAJUKUMU YA NIDA YAPO WAZI HIVYO NEC WAACHENI NIDA WAFANYE KAZI KAMA WALIVYOPANGIWA :WAZIRI CHIKAWE

 Waziri wa mambo ya ndani ya  nchi Mathias Chikawe  akiwa anafunga mkutano wa wafanyakazi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa  uliokuwa unafanyika ndani ya hotel ya snowcrest jiji Arusha.  washiriki  katika mkutano wa Wafanyakazi wa  Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIda wakiwa wanamsikiliza waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa makini wakati akifunga mkutano wao katika hotel ya snowcrest waziri akiwa anapena mkono na mkurugenzi mara baada ya kutoa  risala ya kufunga mkutano huo Mkurugenzi...

 

9 years ago

GPL

KIPIMO CHAONESHA MAGUFULI ALAMA 6, LOWASSA ALAMA 9

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. WAKATI kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikizidi kupamba moto, vipimo vinaonesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ana alama 6 na wa Ukawa, Edward Lowassa ana alama 9 katika mambo mbalimbali ya kikazi, Uwazi linachambua. Uwazi lilianza kwa kuchimba kwenye upande wa mambo yaliyozua maswali mengi ambapo kipimo kinaonesha...

 

10 years ago

Vijimambo

Hoteli mpya ya New Pemba Seaview yafunguliwa Machomane, Pemba


Mwonekano wa Hoteli WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na wananchi wa Machomanne Chake Chake Pemba, kabla ya kuifunguwa hoteli ya Muwekezaji Mzalendo wa Pemba.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akihimiza jambo kabla ya kuifungua hoteli ya Mzalendo kisiwani Pemba, Halfan Hababu (Kidishi)kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akiwa pamoja na viongozi mbali...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo. Mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.

Bw..Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA SHILINGI MILIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.
Bw.Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo viatu,...

 

9 years ago

Habarileo

12 wachukua fomu urais Zanzibar

WAGOMBEA 12 wa urais wa Zanzibar wamejitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Leicester wachukua uongozi EPL

Leicester wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Swansea huku Arsenal, waliopata ushindi wa 3-1 nyumbani dhidi ya Sunderland wakishikilia nafasi ya pili.

 

10 years ago

Habarileo

Migiro, mwanafunzi wachukua fomu

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose MigiroWAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro jana alichukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, hivyo kufikisha idadi ya makada 36 wa chama hicho wanaowania urais, lakini pia akiwa mwanamke wa nne kuthubutu kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani