Matumizi ya alama za vituo
Matumizi ya alama za vituo ni mada ambayo nimeandikia makala chache na wiki iliyopita nilieleza juu ya matunizi ya nukta, mkato na nuktapacha. Kwa mwandishi yeyote anayeandika makala au taarifa kwa Kiswahili hana budi kujua matumizi ya alama hizi pamoja na nyingine zinazofuata.      Katika makala haya nataka sasa kuendelea na mada hii kwa kueleza matumizi ya alama nyingine kama alama ya mshangao, kiulizo, mshangao, mabano, na ritifaa.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Matumizi ya alama katika uandishi
10 years ago
GPL
KIPIMO CHAONESHA MAGUFULI ALAMA 6, LOWASSA ALAMA 9
5 years ago
CCM Blog
MAENEO YANAYOZUNGUKA VITUO VYA TRENI YA MWENDOKASI KUWEKEWA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI


10 years ago
GPL
ALAMA ZINAZOTUMIWA NA FREEMASONS
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Samia alia na alama ‘V’
NA SARAH MOSSI, KOROGWE
MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesema alama ya ‘V’ haijawahi kushika dola duniani kote.
Samia, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wananchi katika eneo la Mombo akiwa njiani kuelekea wilayani Lushoto.
“Sasa hivi vurugu tupu, utawala wa nchi si wa kujaribu, wapeni wenye uthabiti, waliosimama imara na uwezo ndugu zangu, sumu haionjwi,”alisema Samia.
Mapema akiwahutubia wananchi wa Korogwe mjini katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi, Samia...
11 years ago
BBCSwahili12 Dec
Sakata la mtafsiri wa lugha ya alama SA
10 years ago
Habarileo31 Aug
CCM yajivunia alama za Magufuli
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kujivunia kukubalika kwa mgombea wake wa urais, Dk John Magufuli, kutokana na kazi alizofanya kuonekana katika kila mkoa na kila wilaya.
10 years ago
BBCSwahili07 Sep
Mwanafunzi mwerevu apata alama 0 !