Mwanafunzi mwerevu apata alama 0 !
Utata mkubwa umeibuka nchini Misri baada ya matokeo ya mtihani kuonesha mwanafunzi mwerevu hakupata hata alama moja kwenye masomo yote 7
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KIPIMO CHAONESHA MAGUFULI ALAMA 6, LOWASSA ALAMA 9
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Matumizi ya alama za vituo
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Samia alia na alama ‘V’
NA SARAH MOSSI, KOROGWE
MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesema alama ya ‘V’ haijawahi kushika dola duniani kote.
Samia, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wananchi katika eneo la Mombo akiwa njiani kuelekea wilayani Lushoto.
“Sasa hivi vurugu tupu, utawala wa nchi si wa kujaribu, wapeni wenye uthabiti, waliosimama imara na uwezo ndugu zangu, sumu haionjwi,”alisema Samia.
Mapema akiwahutubia wananchi wa Korogwe mjini katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi, Samia...
10 years ago
GPL
ALAMA ZINAZOTUMIWA NA FREEMASONS
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
Wahamiaji watachukuliwa alama za vidole
11 years ago
Vijimambo27 Oct
MIJI NA ALAMA ZAKE KUU

TAJ MAHAL MUMBAI, INDIA

New York mji wa wasiolala, sanamu hilo ndio alama yake kuu, statue of Liberty

BOSTON
BRAZILIAN STATUE OF JESUS
DAR ES SALAAM, mnara wa askari kama unavyoeleweka, alama ya jiji la Dar es salaam
SYDNEY OPERA HOUSE, AUSTRALIA
ZANZIBAR. Bait el jaib alama kuu mji wa Zanzibar
EIFFEL TOWER IN PARS, FRENCH
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Matumizi ya alama katika uandishi