Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIFUNZE LUGHA YA ALAMA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sakata la mtafsiri wa lugha ya alama SA

Serikali ya Afrika Kusini imesema kampuni iliyomtoa watafsiri wa lugha za ishara wakati wa ibada ya kumbu kumbu imekuwa akidanganya kwa miaka mingi na imekuwa itoa watafsiri wenye kiwango cha chini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasioona wataka lugha ya alama

MWENYEKITI wa Chama cha Watu Wasioona Tanzania (CWT), Kiongo Itambu, ameiomba serikali kuwatendea haki kwa kuchapisha baadhi ya nyaraka na machapisho muhimu kwa lugha ya alama au nukta mguso. Alisema...

 

9 years ago

GPL

KIPIMO CHAONESHA MAGUFULI ALAMA 6, LOWASSA ALAMA 9

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. WAKATI kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikizidi kupamba moto, vipimo vinaonesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ana alama 6 na wa Ukawa, Edward Lowassa ana alama 9 katika mambo mbalimbali ya kikazi, Uwazi linachambua. Uwazi lilianza kwa kuchimba kwenye upande wa mambo yaliyozua maswali mengi ambapo kipimo kinaonesha...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili

makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali  na hasa nyimbo, misemo, nahau na...

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili -3

da kuomba radhi kwa wasomaji wapya wa gazeti hili kuwa baadhi ya maelezo nitakayotoa pengine ni marudio ya maelezo ya hapo awali lakini yatawasaidia wengine. Kwa hiyo makala yangu ya leo yana lengo ya kile nilichowahi kuandika hapo awali kwa kuyakosoa magazeti ya Kiswahili. Baada ya kuyachunguza nimegundua kuwa yako makosa yaliyojitokeza ambayo yanatokana na uzembe wa waandishi wa kutofanya utafiti wa kutosha kwa mada husika ambapo makosa mengine yanatokana na udhaifu katika ujuzi wa misingi...

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili -2-

di kisichopungua miaka miwili, nimekuwa nikipitia magazeti ya Kiswahili yanayochapishwa hapa nchini. Nimegundua kuwa baadhi ya waandishi na wahariri hawako makini katika matumizi ya Kiswahili fasaha. Pamoja na juhudi zangu za kusahihisha makosa yanayojitokeza katika magazeti, bado juhudi zangu hazijazaa matunda ya kuridhisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili

Ni mara chache tunasoma makala au taarifa katika magazeti na pia katika majarida na kujiridhisha kuwa muundo na mpangilio wa maneno unakuwa fasaha na sanifu. Kinachoonekana ni ukosefu wa umakini katika matumizi, maana  na tahajia sahihi za maneno.

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili 2

Kabla ya kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.  Ni jambo jema  kama nitawaleteeni   mawazo  hayo  ili nanyi muweze  kuyatafakari.  Kwa mfano  mwandishi mmoja  mwenye  simu na. 0713 614058 aliniandikia,  akisema,  “ Ndugu, Mtanzania huyu asiyejiamini  katika biashara za kimataifa  kwa sababu...

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili Fasaha

Ningependa kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini waandishi hawazingatii maelekezo na maoni  yanayotolewa mara kwa mara katika gazeti hili kuhusu uandishi bora. Inawezekana kuwa baadhi ya waandishi hawa hawasomi makala zangu ama hawayaelewi au hawapendi kujifunza. Hata hivyo, hatutakata tamaa kwani taaluma ya saikolojia inadai kuwa wako watu wenye vichwa vigumu kuelewa jambo na wako wengine wepesi kukubali mabadiliko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani