Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAYA 25 ZILIZOATHIRIWA NA KIMBUNGA CHA UPEPO MKALI KILICHOAMBATANA NA MVUA ZAPEWA MSAADA MKOANI MBEYA


Timu ya watumishi wa jiji la Mbeya ikikabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali  kwa wahanga wa mafuriko katika Mtaa wa Mwanyanje Kata ya Igawilo jijini Mbeya ukiwa na thamani ya shilingi Milioni 1.5



Diwani wa kata ya Igawilo Ndugu Chifoda Fungo na Naibu Meya wa jiji la Mbeya  akizungumza na wakazi wa mtaa huo ambao nyumba zao ziliezuliwa na upepo mkali uliombata na Mvua mwishoni mwa wiki ambapo nyumba zaidi ya 25 ziliezuriwa na Mvua hiyoWahanga wakisubiri kupatiwa msaada na uongozi wa jiji la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA UPEPO MKALI KATA YA IZAZI MKOANI IRINGA

 Meneja wa Tawi la NMB Mkwawa,Sumka Mbuba pamoja na  Afisa Mikopo Grace Ndosa  wakishusha vyakula vyenye thamani ya shilingi milioni tano kutoka kwenye gari ili kukabidhi kwa waathilika wa upepo mkali ulioacha familia nyingi bila makazi na chakula katika kata ya Izazi mkoani Iringa. Msaada huo ulitolewa na Benki ya NMB. Maofisa wa benki ya NMB tawi la Mkwawa wakikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa vijijini, Stevene Mhapa (Pili kushoto). Msaada huo...

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA: Mvua kubwa, upepo mkali waja

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatahadharisha kuwapo mvua, upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwapo kwa upepo mkali, mawimbi makubwa na mvua kubwa kati ya leo hadi Januari 16, mwaka huu. Kutokana na hali...

 

10 years ago

Vijimambo

MVUA KUBWA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI YASABABISHA VIFO SHINYANGA

WATU 39 wamekufa, baada ya kuangukiwa na nyumba zao, kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, Jumanne usiku wa kuamkia leo Machi 4, 2015.

Akithibitisha taarifa hizo, kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema, maafa hayo yametokea katika kijiji cha Mwakata, kata ya Isaka, wilayani Kahama na kwamba watu wengine 60 wamejeruhiwa vibaya huku mifugo kadhaa, ikiwemo Ng'ombe, Mbuzi na kuku, navyo vimekumbwa na maafa....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani