KAZI IMEANZA! WAZIRI MKUU ATAJWATAJWA
![](http://api.ning.com:80/files/-M4AZQ7Xoc*5JYSM134YPL8NcwCNHDaiVpDZyW2Rzw-ZBELvE9D1Lpz74G87WbGM6u0Z*pqnwqEuUvC7pNEkmAMIRc9vlyZC/FRONT.jpg?width=650)
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na rais mteule wa awamu ya tano, Dk John Pombe Magufuli ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS JANA, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (56) alikabidhiwa cheti cha kuutambua ushindi wake wa nafasi hiyo baada ya kuibuka na kura nyingi kwenye uchaguzi uliyofanyika Oktoba 25, mwaka huu huku watu wakisema kitendo cha kumkabidhi cheti kazi imeanza.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-z_ItzeMshcY/U2l-N5pUTNI/AAAAAAAFgAo/ChuDAnd8OyY/s72-c/download.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kazi imeanza
Sitta acharuka, arusha makombora UKAWAAonya hawana uhalali mbele ya WatanzaniaDk.Kigwangalah naye amtolea uvivu Warioba
Na Waandishi Wetu
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amewapasha wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa, hawana uhalali wala hadhi kuliko wajumbe wengine.
Amesema jambo la kutofautiana katika kujadili Rasimu ya Katiba Mpya ni la kawaida na kwamba, kamwe vikao vya bunge hilo havitasitishwa kwa sababu ya wachache kususa.
Amesema masuala na...
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Museveni amfuta Waziri mkuu Kazi
10 years ago
Habarileo20 Sep
Museveni amfuta kazi Waziri Mkuu
RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amemfuta kazi Waziri Mkuu na mtu wake wa karibu, Amama Mbabazi. Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari ilisema Rais Museveni alimshukuru Mbabazi kwa mchango wake kwa nchi ya Uganda, ambapo pia alimtangaza mrithi wa kiti hicho cha Waziri Mkuu kuwa ni Ruhakana Rugunda ambaye sasa anasubiri kuidhinishwa na bunge.
9 years ago
StarTV28 Nov
Waziri mkuu awasimamisha kazi vigogo wa TRA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa nchini Tiagi Masamaki na Habibu Mponezya wa kituo cha huduma kwa wateja na kumwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuhakikisha wote wanakamatwa.
Wengine ni Eliachi Mrema Msimamizi mkuu wa Bandari kavu Dar Es Salaam, Haruni Mpande wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Hamisi Omar ambapo watumishi wengine Nsajigwa Mwandegele, Robert Nyoni na Anengisye Mtafya...
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Rais Museveni amfuta kazi Waziri mkuu
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU TEMESA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 780 zinazotokana na zabuni.
Vile vile, Waziri Mkuu ametoa muda wa miezi miwili kwa taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na TEMESA kiasi cha sh. bilioni 25.88 ziwe zimeshalipa na iwapo kuna taasisi itashindwa kulipa deni lake hadi Julai 30,...