Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KCCM iwaeleze Watanzania wapi ilipokosea

KABLA sijaingia kwa undani katika makala hii, ambayo niliahidi katika toleo la wiki iliopita, nit

Evarist Chahali

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATANZANIA TEKNOLOJIA INATUPELEKA WAPI?

KWENU Watanzania wenzangu popote pale  mlipo. Bila shaka kila mmoja wetu anaendelea na majukumu yake ya kila siku kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Binafsi mimi ni mzima wa afya. Naendelea na majukumu ya kila siku likiwemo hili la kuwaandikia barua.
Madhumuni ya kuwakumbuka Watanzania wenzangu leo ni kuhusu maendeleo ya teknolojia hususan suala zima la mitandao ya kijamii na simu hizi za kisasa. Ndugu zangu, nimelazimika...

 

10 years ago

Vijimambo

JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA

wema sepetu bongoclan.co.tzAkiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana  anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.wema sepetu bongoclan.co.tz..

 

9 years ago

GPL

SAJENTI, SIASA NA MALEZI YA MTOTO WAPI NA WAPI?

MAISHA ya Kibongo kwa kweli ni magumu sana. Kuna msemo mmoja maarufu sana mtaani unaosema kuwa bora jana kuliko leo, wakimaanisha angalau jana walikuwa na uhakika, hawajui leo itakuwaje. Vijana wako bize kutafuta hela kwa kila mbinu, wenye haraka wakitumia silaha, ushirikina na hata utapeli, ili mradi kila mmoja anajitahidi kuhakikisha maisha yake ya leo yanakwenda sawa, huku akijiweka vizuri kuishika kesho yake isiingie...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI

Ni wazi kwamba ningependa siku moja watanzania waweze kujua ukweli wa nini kinafanywa na matajiri wa nchi hii.Matajiri waliojaa  ulafi wa kunufaika na rasilimali za nchi hii kwa manufaa yao na familia zao ukijumlisha wapambe wao na washirika wa ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ni katika vita hii ndio inayopelekea serekali yetu kuyumba na kuyumbishwa (STATE TO BE CAPTURED) na hawa matajiri pale wanapopigania maslahi yao na kudiriki kutumia utajiri wao na umiliki wao wa vyombo kama vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani