Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keisha: Atangaza Nia,Ataka Sauti Yao Isikike Bungeni

Msanii wa Bongo Fleva  ambaye ameshawahi kuigiza kwenye filamu kadha ya kupinga mauwaji ya Albino, Keisha  amefunguka kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa  Instgram sababu na nia yake ya kuingia bungeni mwaka huu,na kwamba wao kama walemavu wa ngozi (Albino) lazima wawe na wawakilishi wa kutosha bungeni ili sauti zetu zisikike ili sheria itungwe na kutekelezwa pia.
Kesha ameandika;

Habari za asubuhi ndugu zangu rafiki zangu mashabiki zangu na media zote nchini.najua wengi mnajiuliza...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza nia kimtindo

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza kuanza rasmi kwa safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake, ambayo amesema itatimiza ndoto za Watanzania za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.

 

10 years ago

Michuzi

steve nyerere atangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la wapiga kura, ili wasikose kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano maalum wa kutangaza nia na kuhamasisha watu kujiandikisha, alisema kujiandikisha ni haki ya kila Mtanzania hivyo kwa vijana na wazee hakuna sababu ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Anndy Murry atangaza nia

Nyota wa mchezo wa Tennis Andy Murray amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu Kim Sears imeelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta atangaza nia ya urais ‘kiaina’

 Dodoma/Dar. Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema kati ya waliojitokeza na wanaotajwa kuwania urais, hakuna ambaye anaweza kupambana na kuikataa rushwa na kwamba muda ukifika ataweka hadharani nia yake.

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua leo. (Picha na Loveness Bernard)
Umati wa watu ukimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua mkoani Singida leo. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiwa na mkewe Faraja kabla ya kuzungumza na...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Atangaza nia kumng’oa Zungu Ilala

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikihitimisha mchakato wa kumpata mgombea urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, kada wa chama hicho ametangaza kumuondoa mbunge wa sasa wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, Iddi Azzan Zungu.

Kada huyo mwenye Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara aliyoipata nchini Uingereza, Waziri Kindamba, amesema hana nia ya kukosoa kazi zilizofanywa na Zungu bali anataka kuleta mabadiliko, hususan katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rand Paul atangaza nia Marekani

Seneta kutoka Kentucky wa chama cha Republican Rand Paul, ametangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao, Marekani.

 

10 years ago

GPL

STEPHEN WASSIRA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Stephen Wassira akitangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa BOT jijini Mwanza leo. WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira leo ametangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa BOT jijini Mwanza. Wassira anawania nafasi ya kugombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Katika hotuba yake wakati wa kutangaza nia yake, Wassira amesema amepata kuteuliwa kuongoza sehemu mbalimbali nchini maana marais wote...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk.  Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani