Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya: Kosa la Jimmy Gait kwenye cover ya Hello ya Adele ni lipi?

12317373_1540701262917454_1836197456_n

Tangu Adele ameachia wimbo wake Hello, kuna utitiri wa kava za wasanii kwenye mtandao wa Youtube. Kila mmoja amejaribu kuuimba wimbo huo kwa manjonjo yake wenyewe.

Wapo waliosifiwa kwa kuuimba vizuri kama Joe Thomas na Dela wa Kenya. Version ya Dela imefika mbali zaidi kwakuwa ametumia Kiswahili. Na pengine cover hiyo imefanya vizuri zaidi kuliko hata nyimbo zake mwenyewe.

Lakini pia wapo walioshindwa kuyafurahisha masikio ya wasikilizaji aidha kwa kuimba chini ya kiwango au kwa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Song: Pipi – Hello (Adele Cover)

PIPI COVER

Msanii wa Bongo fleva Pipi amewapa mashabiki wake zawadi ya mwaka mpya kwa kufanya Cover ya wimbo wa Adele unaitwa “Hello” Produced by Valentino and Sifa.. Enjoy.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Jors Bless – Hello (Adele cover )

Jors Bless

Video ya producer na muimbaji wa R&B, Jors Bless akiimba wimbo wa Adele, Hello.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Joe Thomas afanya cover ya wimbo mpya wa Adele ‘Hello’

Joe

Inawezekana umeshakutana na ‘cover’ kadhaa za hit song mpya ya Adele ‘Hello’, ambayo imevunja rekodi mbalimbali toka ilipotoka October 23. Mwimbaji mkongwe wa RnB Joe Thomas wa Marekani naye amefanya cover ya wimbo huo, isikilize hapa.

Maana ya ‘cover song’:

In popular music, a cover version or cover song, or simply cover, is a new performance or recording of a previously recorded, commercially released song by someone other than the original artist or composer.

Jiunge na Bongo5.com...

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Jors Bless afanya cover ya ‘Hello’ ya Adele, ni noma

hello cover

Zimetoka cover maelfu za wimbo wa Adele, Hello. Jors Bless anakuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kufanya cover yake. Isikilize hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Hizi ni cover 2 za wimbo wa Adele ‘Hello’ zilizofanywa na wasanii wa Nigeria

adele-25-cover

Zimebaki siku 5 hit song ya muimbaji wa Uingereza, Adele itimize mwezi mmoja toka ulipotoka Oct. 23. Wanamuziki kutoka sehemu mbalimbali duniani wamejitokeza kufanya cover za wimbo huo.

adele-25-cover

Ukiacha kina Joe Thomas, Alaine, Demi Lovato na wengine ambao wamefanya cover ya ‘Hello’, wapo wasanii kutoka Afrika ambao wamefanya cover ya ‘Hello’.

Sikiliza na tazama cover version ya muimbaji wa RnB Praiz ambaye alishinda tuzo ya Afrima ‘Best African R&B/Soul Artiste’ pamoja na Omawumi wote kutoka...

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Dela wa ‘Asante’ ya AY afanya cover ya Kiswahili ya wimbo wa Adele ‘Hello’

adele_two

Zimeshafanyika cover za kila aina za wimbo maarufu wa Adele ‘Hello’ uliopo kwenye albamu yake mpya 25.

Na sasa muimbaji wa Kenya, Dela aliyewahi kushirikishwa na AY kwenye wimbo wake Asante, amekuja na cover ya Kiswahili ya wimbo huo and it’s fire.

“Hello! It was wonderful translating this amazing song by Adele. Thanks a million to Sauti Sol’s @Fancyfingers1 the much talented Benjamin Webi and Andrew Wanjohi. We got goosebumps producing this.
I hope you do, too,” ameandika...

 

9 years ago

Mtanzania

Adele akimbiza kwenye chati za Billboard

Adele.NEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki nchini Uingereza, Adele Adkins, anamaliza mwaka kwa kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard kwa wiki nne.

Katika chati hiyo kulikuwa na albamu 200 ambazo zilikuwa zinashindanishwa, lakini Adele amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye ushindani huo kwa wiki nne.

Mkali huyo wa sauti amesema ni furaha kwake kuona kazi zake zikikubalika na idadi kubwa ya watu duniani na ndiyo maana ameweza kukaa kwa muda mrefu ambapo sio kawaida kutokana na...

 

11 years ago

Bongo5

Video: Jimmy Kabwe achukua nafasi ya ML Chris kwenye The Big Easy ya Choice FM

Mtangazaji mkongwe wa redio nchini na mmoja wa watangazaji wa kwanza kabisa wa Clouds FM, Jimmy Kabwe, amechukua nafasi ya Chris Lugoe aka ML Chris kwenye kipindi cha The Big Easy cha Choice FM ambapo atakuwa akishirikiana na Abby. “Kwakweli Choice FM is my choice,” Kabwe ameiambia Bongo5 kwenye mahojiano maalum. “Muda ulipofika wa mimi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani