Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kerewa’ ya Shetta yatafuna mil. 21

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Shetta, amesema ametenga sh milioni 21 kwa ajili ya video ya wimbo wake wa ‘Kerewa’ ambayo anatarajia kuifanya na mtayarishaji mahiri kutoka Afrika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

‘Kerewa’ ya Shetta yaingia kwenye Top 10 za Radio 3 Nigeria, NAIJA 102.7 FM, CITY 105.1 FM na THE BEAT 99.9FM

Shetta ameanza kuona matunda ya video yake ya ‘Kerewa’ aliyoifanya Afrika Kusini na director GodFather. Baada ya video yake kuanza kuchezwa kwenye vituo vya kimataifa kama MTV Base, Channel O na Soundcity, wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platnumz umeingia kwenye Top 10 za Radio tatu za Nigeria. Kupitia chati ya NAIJA 102.7 FM ‘Kerewa’ ipo nafasi […]

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeya City yatafuna mnyama

Mabingwa wa zamani wa Tanzania Bara, Simba jana walishindwa kutamba nyumbani baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 mbele ya Mbeya City jana, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya BRN yatafuna bil. 500/-

SERIKALI imetumia zaidi ya sh bilioni 500 kwa ajili ya utekeleaji wa miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika kipindi cha Julai hadi Desemba, 2013. Hayo yalisemwa jana na kiongozi...

 

11 years ago

CloudsFM

SHETA: SIJUTII KUWEKEZA MILIONI 25 KWENYE VIDEO YA KEREWA

STAA wa Bongo Fleva,Sheta, baada ya kuwekeza milioni 25 kwenye video ya Kerewa ambayo aliifanyia nchini Afrika Kusini chini ya director mwenye profile ya kufanya kazi na wasanii wakubwa Afrika wanamwita God Father, Sheta alifunga macho na kuichana wallet yake kwa ku spend karibu milioni 25 kukamilisha zoezi hili.Video ya Kerewa imetoka siku ya Ijumaa Mpaka sasa hivi kwenye mtandao wa you tube imetazamwa na zaidi ya watu elfu 27 Ndani ya video hiyo Sheta na Diamond wameonekana wakikabidhiana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani