Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHETA: SIJUTII KUWEKEZA MILIONI 25 KWENYE VIDEO YA KEREWA

STAA wa Bongo Fleva,Sheta, baada ya kuwekeza milioni 25 kwenye video ya Kerewa ambayo aliifanyia nchini Afrika Kusini chini ya director mwenye profile ya kufanya kazi na wasanii wakubwa Afrika wanamwita God Father, Sheta alifunga macho na kuichana wallet yake kwa ku spend karibu milioni 25 kukamilisha zoezi hili.Video ya Kerewa imetoka siku ya Ijumaa Mpaka sasa hivi kwenye mtandao wa you tube imetazamwa na zaidi ya watu elfu 27 Ndani ya video hiyo Sheta na Diamond wameonekana wakikabidhiana...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHETA NILIKUTANA NA MAMA KAILA KWENYE MISELE!

AMEMSAHAU MUNGU?
Wasanii wengi wamemsahau Mwenyezi Mungu, ni kama hawana dini, msikitini wala kanisani hawapajui. Je, wewe Shetta ni mmojawapo? Joel Luhwago, Dar, 0752775325
Shetta: Mimi nina dini yangu na huwa sikosi msikitini. Msanii wa Bongo Fleva Shetta akiwa ndani ya ofisi za  Global. ALIYEMVUTIA
Shetta ni nani aliyekuvutia kuingia kwenye gemu la muziki ingawa staili ya uimbaji wako inafanana na msanii Black...

 

11 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

‘Kerewa’ ya Shetta yaingia kwenye Top 10 za Radio 3 Nigeria, NAIJA 102.7 FM, CITY 105.1 FM na THE BEAT 99.9FM

Shetta ameanza kuona matunda ya video yake ya ‘Kerewa’ aliyoifanya Afrika Kusini na director GodFather. Baada ya video yake kuanza kuchezwa kwenye vituo vya kimataifa kama MTV Base, Channel O na Soundcity, wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platnumz umeingia kwenye Top 10 za Radio tatu za Nigeria. Kupitia chati ya NAIJA 102.7 FM ‘Kerewa’ ipo nafasi […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo kuwekeza dola milioni 1 kupanua huduma zake Zanzibar

TigoGM-edited2

Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano.

Tigo Tanzania imepanga mwaka huu kujenga minara 10 mipya ya simu yenye thamani ya dola milioni moja (1) katika visiwa vya Zanzibar kama moja ya mikakati yake ya upanuzi wa huduma zake nchini.

Hii ilitangazwa leo na Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano wakati alipotembelea Zanzibar kwa mara ya kwanza kukutana na wadau wa kampuni kisiwani hapo.

Bi. Tiano alisema kwamba minara hii mipya 10 ni uwekezaji mkubwa ambao kampuni hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuwekeza dola milioni 120 katika mtandao wake 2015

DSC01093

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano akiongea na waandishi wa habari kuhusu kampuni yake itakavyowekeza mwaka huu, Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.

DSC01095

Tigo Tanzania imepanga kutumia kiasi cha dola milioni 120 (Shilingi bilioni 221) mwaka huu kwa ajili ya upanuzi wa mtandao wake utakao ongeza ufanisi wa huduma zake nchini.

Akizungumza mipango hiyo ya kampuni kwa mwaka 2015, Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Bi.Cecile Tiano alisema kwamba uwekezaji wa mwaka huu ni ishara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani