SHETA NILIKUTANA NA MAMA KAILA KWENYE MISELE!
![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiZB9ppuG8Z1xzNkiz61yK0OeXqsGeFK4SWlRypVqJGKcMGboWjqt6EVMVmLnYR2Eu6aGzW8WGpDupSO9D9YMEyf/kaila.jpg)
AMEMSAHAU MUNGU? Wasanii wengi wamemsahau Mwenyezi Mungu, ni kama hawana dini, msikitini wala kanisani hawapajui. Je, wewe Shetta ni mmojawapo? Joel Luhwago, Dar, 0752775325 Shetta: Mimi nina dini yangu na huwa sikosi msikitini. Msanii wa Bongo Fleva Shetta akiwa ndani ya ofisi za Global. ALIYEMVUTIA Shetta ni nani aliyekuvutia kuingia kwenye gemu la muziki ingawa staili ya uimbaji wako inafanana na msanii Black...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM01 Jul
SHETA: SIJUTII KUWEKEZA MILIONI 25 KWENYE VIDEO YA KEREWA
STAA wa Bongo Fleva,Sheta, baada ya kuwekeza milioni 25 kwenye video ya Kerewa ambayo aliifanyia nchini Afrika Kusini chini ya director mwenye profile ya kufanya kazi na wasanii wakubwa Afrika wanamwita God Father, Sheta alifunga macho na kuichana wallet yake kwa ku spend karibu milioni 25 kukamilisha zoezi hili.
Video ya Kerewa imetoka siku ya Ijumaa Mpaka sasa hivi kwenye mtandao wa you tube imetazamwa na zaidi ya watu elfu 27 Ndani ya video hiyo Sheta na Diamond wameonekana wakikabidhiana...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA MAMA GRACA MACHEL KWENYE OFISI ZA WAMA
9 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqwYAZKpy7rc7xlY1*074DCtVdzk2e1x1h80D*BcfqiKM7zPgysK6GRzaRQlnFIsRFErgByYEA0siZj2orC6lzXc/24hourpartypeople.jpg)
MISELE YA NEW YEAR ILINIBOA
10 years ago
Michuzi30 Jun
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-H1IrvXgIzOM/U8FlWOvgGcI/AAAAAAAF1mk/n6hxu082K_o/s72-c/unnamed+(21).jpg)
Rais obama wa marekani aendelea kupiga misele mitaani
![](http://2.bp.blogspot.com/-H1IrvXgIzOM/U8FlWOvgGcI/AAAAAAAF1mk/n6hxu082K_o/s1600/unnamed+(21).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Hu2zCI2A2aw/U8FlWKMbrSI/AAAAAAAF1mo/jWmomcse7ds/s1600/unnamed+(23).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ICR0rl3Jam0/U8FlkXF6JcI/AAAAAAAF1nE/Tv4MvYbEMM0/s1600/unnamed+(22).jpg)
Picha kwa hisani ya Pete Souza wa White House
11 years ago
CloudsFM17 Jul
SHETA AOGESHWA MAJI YA UKOKO SIKU YAKE YA KUZALIWA
Staa wa Bongo Fleva,Sheta alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya ukoko na wasanii wenzake siku ya kuzaliwa kwake jana.
Kisanga hicho kilimkumba jana wakati alipohudhulia futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Tatent(THT)baada ya watu kufuturu nay eye kuingia ndipo walipomuita pembeni kama wanaongea naye kilichotokea hapo ni kumwagiwa maji ya ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria.