Rais obama wa marekani aendelea kupiga misele mitaani
.jpg)
Rais Obama wa MArekani akipata pizza na wananchi wa Denver, akiwa katika ziara yake ya kutembelea wananchi wa kawaida mitaani na kuzungumza nao mamo ya maisha na changamoto wazipatazo. Wananchi hawa walimwandikia barua Rais Obama na kumtaka awatembelee
Rais Obama akiongea na mwanamama Kinsey Button katika Mgahawa wa Magnolia mjini Austin, Texas
Rais Obama akiongea na wananchi mitaani Denver.
Picha kwa hisani ya Pete Souza wa White House
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
Vijimambo
BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.


11 years ago
Dewji Blog03 Sep
Rais Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani, jijini Nairobi leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi yuko...
11 years ago
Michuzi
RAIS Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani,jijini Nairobi leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi ...
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Rais Obama akerwa na mauaji Marekani
10 years ago
Mwananchi09 Oct
‘Obama siyo rais mweusi kamili Marekani’
10 years ago
Vijimambo
RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI ZIARANI JIMBO LA ALABAMA





10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
JK apokea salamu za kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani




Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10