KESHO JUMATATU MAHOJIANO YA HUYU NA YULE USIKOSE KUJUA USIRI WA MAISHA YA LINDA

NI MENGI AMEZUNGUMUZA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUKUYAJUAKesho Jumatatu katika kipindi cha huyu na yule cha mahojiano na mwanamitindo mbunifu wa LB kutoka Atlanta, Georgia atakapoelezea historia yake yenye milima na mabonde historia ya maisha yake yenye huzuni na furaha wakati mwingine Linda akitokwa na machozi kwa kukumbuka maisha aliyopitia. Je Mume wake Mali walijuana nae wapi? na mengine mengi kuhusu maisha yake ikiwemo kampuni yake ya LB na malengo yake ya kupeperusha bendera ya Tanzania...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Katika kipindi cha "HUYU NA YULE" kesho (Jumatatu), usikose kujua UNDANI wa maisha ya Linda

10 years ago
Vijimambo
Pt II ya mahojiano na Linda Bezuidenhout kesho....USIKOSE

Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote
USIKOSE mahojiano yaliyofanywa na mwakilishi wa Vijimambo na Kwanza production Michigan Alpha Igogo ambae alitaka kujua...
10 years ago
Vijimambo
Huyu na Yule...........Mahojiano na Dr na Mama Williams

Waasisi wa AHEAD Inc. Taasisi ambayo iliasisiwa mwaka 1985 na inajishughulisha kubadili maisha ya wengi nchini Tanzania kupitia Elimu, Stadi za Maisha, Afya ya Mama na Mtoto na pia kuzisaidia jamii mbalimbali..
Wamezungumzia mengi kuhusu namna walivyofika Tanzania kwa mara ya kwanza 1974. Kilichowapeleka, walivyoamua kubaki huko mpaka sasa, shughuli za Taasisi yao na mengine mengi
Karibu
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog...
10 years ago
Michuzi
HUYU NA YULE........Mahojiano na Dr Talib Ali

10 years ago
Vijimambo
HUYU NA YULE.......Mahojiano na Dr Crispin Semakula

Daktari wa mahgonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini Marekani
Pia ni mwanzilishi wa Access Medical and Dialysis Center iliyopo Dar Es Salaam
Ameeleza mengi kuhusu maradhi anayoshughulika nayo na pia kituo chake.
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production
Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana...
10 years ago
GPL
HUYU NA YULE: MAHOJIANO NA DR CRISPIN SEMAKULA
10 years ago
Vijimambo
HUYU NA YULE Jumatatu ijayo....... Dr Talib Ali

Kwa ufupi........
10 years ago
Michuzi
HUYU NA YULE Jumatatu ijayo....... DK. Talib Ali

10 years ago
Michuzi
HUYU NA YULE YA KWANZA PRODUCTION NA VIJIMAMBO: Mahojiano na Dr Crispin Semakula

Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza ProductionKwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali...