KESI DHIDI YA RAIS KENYATTA YAAHIRISHWA
![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB8oz*EFEr0S6s*DGZQz06NIU45jHY*Txq-0ERjGXvEGviQV5nmoYPe31m0FHGWi8-4t1leFVdSOv6pcmAB2mJO5/uhuru.jpg)
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. MAHAKAMA ya kimataifa ya uhalifu (ICC) imeahirisha kesi dhidi ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta hadi Oktoba 7, mwaka huu. Rais Kenyatta anatuhumiwa kwa makosa ya jinai kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 - 2008, madai ambayo ameyakanusha. Mahakama Kuu ya ICC, kupitia mwendesha mashitaka Fatou Bensouda, imekuwa ikiitaka serikali ya Kenya kutoa ushirikiano wa kutosha ili...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Kesi dhidi ya rais Kenyatta ni Oktoba
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Kesi rufaa ya talaka dhidi ya Mtembei yaahirishwa
Na Mwandishi wetu
KESI ya rufaa ya madai ya talaka dhidi ya mfanyabiashara na Mkurugenzi wa shule ya sekondari ya St Mathew, Thadei Mtembei imeahirishwa baada ya wakili wa Mtembei, Mussa Kyoboya kudai mrufaniwa yuko India kwa matibabu.
Kesi hiyo inasikilizwa na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Tarimo.
Katika kesi hiyo, mpeleka rufaa, Magreth Mwangu anawakilishwa na wakili Chacha Mrungu. Kesi hiyo ilikuja mahakamani juzi ambapo mrufaniwa alitakiwa kupeleka majibu ya...
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
ICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
ICC yatupa kesi ya Rais Kenyatta
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), jana imetupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashika Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda aliondoa kesi...
10 years ago
Michuzi04 Dec
Kesi ya Rais Uhuru Kenyatta wa kenya, ICC yampa muda Bensouda
![](https://2.bp.blogspot.com/-xqIaKTncqn4/VH_cFnF7ajI/AAAAAAABzYY/efKUwoaBj0c/s1600/141008160241_kenya_icc_640x360_bbc_nocredit.jpg)
ya kimataifa ICC Mhe. Fatou Bensouda
Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC imempa kiongozi wa mashtaka katika mahakama hiyo Fatou Bensouda makataa ya juma moja kutoa ushahidi dhidi ya rais wa kenya la sivyo aondoe mashtaka dhidi yake.''Kucheleweshwa kwa kesi hiyo ya rais Uhuru ni kinyume na maslahi ya haki ''iliamua.Rais Kenyatta ni kiongozi wa kwanza wa taifa kufika katika mahakama hiyo tangu ashtakiwe rasmi mwaka 2012 na mashtaka ya uhalifu...
10 years ago
CloudsFM05 Dec
Mahakama ya Kimataifa ya ICC imeamua ktupilia mbali kesi ya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya
Mwendeshaji mkuu wa mashitaka Fatou Bensouda ameondoa kesi dhidi ya Kenyatta ambaye alidaiwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa ghasia baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya.
Katika Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo iliyopo nchini Uholanzi imesema kesi yake haikua na ushahidi wa kutosha wa Kenyatta kuhusika moja kwa moja na mauaji ya maelfu ya Wakenya wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Kenyatta alishtakiwa kama mshukiwa mkuu wa ghasia baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/2008...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tAVAG12uBLY/XmebNtJOpuI/AAAAAAALib8/_qpWnmk-C2o_K3mszbU9QQ5StjTLIB8CgCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
Rais Kenyatta, mwenyekiti mpya wa ALMA, aainisha vipaumbele vyake katika vita dhidi ya Malaria
![](https://1.bp.blogspot.com/-tAVAG12uBLY/XmebNtJOpuI/AAAAAAALib8/_qpWnmk-C2o_K3mszbU9QQ5StjTLIB8CgCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault.jpg)
Vipaumbele hivyo vinavyotajwa kuleta mapinduzi makubwa, vinalenga kutafuta suluhu dhidi ya changamoto za mapambano ya kutokomeza malaria. Changamoto hizi zinajumuisha; ushiriki hafifu wa...
9 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-jB9FWRS1DJQ/VhJSPk0tQmI/AAAAAAAH9AE/wyJqhp2ZyQ8/s640/ke1.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-jB9FWRS1DJQ/VhJSPk0tQmI/AAAAAAAH9AE/wyJqhp2ZyQ8/s72-c/ke1.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA