Kesi ya Madabida, wenzake kutajwa leo
KESI ya kusambaza dawa bandia za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) inayomkabili Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, inatajwa leo. Kesi hiyo inatajwa mbele ya Hakimu Mkazi, Nyigulila Mwaseba wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kuangalia kama upelelezi umekamilika au la!.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Kesi ya Twiha kutajwa leo
Kesi ya Twiha kutajwa leo WASHITAKIWA wa kesi ya kusafirisha wanyama hai zaidi ya 100 wakiwamo twiga na ndege wa aina mbalimbali kwenda Qatar wanapandishwa mahakamani kwa mara nyingine tena...
11 years ago
Habarileo13 Feb
Kesi ya Zitto kutajwa leo
KESI ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe dhidi ya chama hicho, itatajwa leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Kesi ya Zitto dhidi ya Chadema kutajwa leo Mahakama Kuu Dar
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s72-c/Chid%2BBeenz_full.jpg)
CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11
![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s1600/Chid%2BBeenz_full.jpg)
Chid Benz amefikishwa mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Upelelezi kesi ya Madabida wakamilika
UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kusambaza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Kesi ya Madabida yaanza kuunguruma
NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), ilikagua na kugundua dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) zilizotengenezwa na Kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd (TPL), kinachomilikiwa na Ramadhani Madabida kuwa ni bandia.
Hayo yalidaiwa jana na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Osward Tibabyekomya, mbele ya Hakimu Mkazi, Nyigulila Mwaseba, wakati akiwasomea maelezo ya awali Madabida na wenzake.
Madabida, ambaye ni Ofisa...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Kesi ya Zitto kutajwa Aprili mosi
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Kesi ya MCL na IPTL yaanza kutajwa
10 years ago
Habarileo03 Sep
Kesi ya Kazembe na wenzake yaahirishwa
KESI ya mauaji inayomkabili Ofisa Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirishwa hadi Septemba 16 mwaka huu.