Kesi ya Madabida yaanza kuunguruma
NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), ilikagua na kugundua dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) zilizotengenezwa na Kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd (TPL), kinachomilikiwa na Ramadhani Madabida kuwa ni bandia.
Hayo yalidaiwa jana na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Osward Tibabyekomya, mbele ya Hakimu Mkazi, Nyigulila Mwaseba, wakati akiwasomea maelezo ya awali Madabida na wenzake.
Madabida, ambaye ni Ofisa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Upelelezi kesi ya Madabida wakamilika
UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kusambaza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake...
11 years ago
Habarileo18 Mar
Kesi ya Madabida, wenzake kutajwa leo
KESI ya kusambaza dawa bandia za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) inayomkabili Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, inatajwa leo. Kesi hiyo inatajwa mbele ya Hakimu Mkazi, Nyigulila Mwaseba wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kuangalia kama upelelezi umekamilika au la!.
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
THE MBONI SHOW yaanza kuunguruma January 2 ndani ya TBC
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu wa tatu wa kipindi chake ‘The Mboni Show’ kinachotarajia kuanza Jan 2, 2015. Kushoto ni kiti Simpompa na kuanzia kulia ni Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (PSPF) Magira Werema na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC,Bw.Fadhili Chilumba.
![](http://3.bp.blogspot.com/-YCdw2oFOBjQ/VKJH7Q_31UI/AAAAAAABJtY/T0Fe3-jcalU/s1600/IMG_6585.jpg)
Kutoka Kulia Afisa Masoko wa Mfuko wa...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Kesi ya Katiba kuanza kuunguruma leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo itaanza kusikiliza kesi ya msingi ya kikatiba ya Bunge Maalumu la Katiba. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama hiyo kutupilia mbali pingamizi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MXL2tL2x4cY/VFoouXXouUI/AAAAAAAGvpc/8In3BzzMu60/s72-c/DSC09425_thumb2.jpg)
KESI YA MDEE KUANZA KUUNGURUMA NOVEMBA 16, MWAKA HUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-MXL2tL2x4cY/VFoouXXouUI/AAAAAAAGvpc/8In3BzzMu60/s1600/DSC09425_thumb2.jpg)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanane wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.
Kesi hiyo ilitajwa leo na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.Mbali na Mdee, washtakiwa wengine ni, Rose Moshi (45), Renina...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-98VRy31N9yY/Xrle7snYZ2I/AAAAAAALpz0/5EH_Xt7FbSMAWAHDlU2cv9yZ7VBi6pqmwCLcBGAsYHQ/s72-c/mahakama%2BBlack.jpg)
Kesi ya waliomuua Dk. Mvungi kuanza kuunguruma mahakama Kuu
![](https://1.bp.blogspot.com/-98VRy31N9yY/Xrle7snYZ2I/AAAAAAALpz0/5EH_Xt7FbSMAWAHDlU2cv9yZ7VBi6pqmwCLcBGAsYHQ/s640/mahakama%2BBlack.jpg)
Washtakiwa katika kesi hiyo ambao leo Mei 11, 2020 wamesomewa maelezo ya mashahidi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya upelelezi kukamilika ni Msigwa Matonya, Mianda Mlewa, Paulo Mdonondo, Juma Kangungu, Longishu Losingo na John Mayunga.
Akisoma...
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Kesi ya kufukua maiti yaanza
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
Kesi ya Habre yaanza leo
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Kesi ya Rita Jeptoo yaanza kusikilizwa