Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya Patel, Lundenga kuanza Februari

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kuanza kusikiliza kesi ya madai Februari 10, 2015 iliyofunguliwa na mfanyabiashara Prantash Patel dhidi ya mkurugenzi wa Lino Agency, ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Lundenga, Patel hatua ya usuluhishi

Mgogoro uliopo baina ya mfanyabiashara Prantash  Patel dhidi ya Mkurugenzi wa Lino Agency waandaaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga sasa umeingia katika hatua ya usuluhishi.

 

10 years ago

Daily News

Lundenga counters Patel's request to block pageant


Daily News
Lundenga counters Patel's request to block pageant
Daily News
THE organiser of Miss Tanzania beauty pageant, Hashim Lundenga, has raised some grounds of objection seeking dismissal of an application lodged by his partner, Prashant Patel, challenging this year's contest scheduled for October 11 at Mlimani City Hall.

 

10 years ago

Bongo5

Lundenga ashinda kesi ya kuendelea kuendesha shindano la Miss Tanzania, Oct 11

Mwanzilishi Mwenza wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga ameshinda kesi ya kuendelea kuendesha shindano hilo baada ya kufunguliwa mashtaka na mwenzake Prashant Patel ili kusitisha kufanyika kwa shindano hilo lililopangwa kufanyika October 11 kwenye ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Lundenga amesema hakimu aliyekuwa akisimamia kesi hiyo ameamua kuifuta. “Kuanzia […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota Stars kuanza kusakwa Februari 22

MICHUANO maalumu ya soka ya kushindanisha vikosi vya mikoa 22 ya Tanzania Bara kupata nyota wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, itachezwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 5. Hayo yalisemwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Ponda kunguruma Februari 16

KESI inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi mahakamani.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi wizi IPTL kusikilizwa Februari

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Februari 24, 2014 itaanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya wizi wa mafuta yenye thamani ya Sh 970.6 milioni ya kulainisha mitambo ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), inayowakabili watu wanane.

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ubunge Mbagala kujulikana Februari

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kupanga tarehe ya usikilizwaji wa kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Mbagala, Februari 4, mwakani.

 

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE FEBRUARI 23.

Na Chalila Kibuda
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya uchukuaji wa alama za vidole (BVR) kwa mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe utaanza Februari 23 hadi Machi 1 mwaka huu.
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na Ruth Masham kwa niaba ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ilisema zoezi hilo litapita katika kata za Kitisi,Kivavi,Lyamkena,Maguvani,Majengo ,Makambako ,Mji Mwema,Mlowa,na Mwembetogwa na zoezi hilo litaanza majira ya saa 2...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: msanii wa filamu elizabeth kimemeta a.k.a lulu kuanza kujibu mashtaka ya kumuua bila kukusudia steven kanumba Februari 17

Msanii wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu (pichani) anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), anatarajia kujibu mashitaka yake kwa mara ya kwanza Februari 17, mwaka huu katika Mahakakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.  Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji na bila kukusudia, iliyotolewa na Mahakama Kuu kwa kanda hiyo, kesi ya Lulu itasikiliza mbele ya Jaji Rose Teemba na mshtakiwa atajibu mashitaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani