Khadija Kopa: Natamani kuolewa tena
Malkia wa mipasho Tanzania, Khadija Kopa amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa tena baada ya kumpoteza mume wake aliyefariki miaka miwili iliyopita. Alipoulizwa kwenye kipindi cha Sporah kama bado ana mpango wa kuolewa tena baada ya kufiwa na mume wake alisema, yeye kama binadamu maisha ni lazima yaendelee na anatamani apate mume mwingine wa kumuoa. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KHADIJA KOPA SASA YUPO TAYARI KUOLEWA TENA
Mwandishi wetu Kutoka moyoni! Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa ‘Da’ Khadija’ amefunguka la moyoni kwamba sasa yupo tayari kuolewa tena iwapo atatokea mwanaume mwenye vigezo anavyovihitaji..  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1NcDKNB
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA
BAADA ya wiki iliyopita kumaliza simulizi tamu ya mwimba Injili mahiri nchini, Bahati Bukuku, wiki hii tunaye malkia wa mipasho Bongo. Si mwingine bali ni Hadija Omar Kopa. Kopa alizaliwa mwaka 1963, Unguja, Zanzibar. Maisha yake yalikuwa ya kawaida sana. Kwa sehemu kubwa alilelewa na bibi yake mzaa mama, aitwaye Biubwa Juma. Katika simulizi hii, Kopa anaanza kusimulia siku alipoanza daraza la kwanza. Malkia wa mipasho Bongo,...
11 years ago
GPL
MBOTO APAGAWISHWA NA KHADIJA KOPA
Stori: Musa Mateja KOMEDIANI maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ alijikuta akipagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa kiasi cha kushindwa kujizuia na kupanda jukwaani kuungana na wacheza shoo wake. Komedian maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ akiwa jukwaani mara baada ya kupagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa. Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita...
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-3
MAPENZI YA MAMA YAMTESA, MWENYEWE AMTOROKA
ILIPOISHIA
Khadija Kopa aliishia pale aliposema kwamba katika kipindi hicho ndicho alipogundua kwamba mbali na ukimya wake, uoga wake lakini Mungu alikuwa amempa kipaji cha uimbaji. Hivyo aliamini kwamba kingeweza kumsaidia katika maisha yake ya baadaye. Malkia wa miondoko ya taarabu, Bi Khadija Omari Kopa. ENDELEA... Nilipofika darasa… ...
10 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 8
ILIPOISHIA..
Bado Khadija anaendelea kusimulia historia ya maisha yake. Ametoka mbali, ameishia pale alipojiunga na Bendi ya Culture Music All Club ambayo ilikuwa ikitumbuiza Zanzibar tu.
Hapo ndipo uwezo wake ulipoonekana zaidi na kuwachanganya kabisa watu.
ENDELEA...
Malkia wa mipasho bongo khadija omari kopa. Naendelea kuyakumbuka maisha yangu, kila ninapojiangalia na kuona hapa nilipofika, huwa ninamshukuru sana...
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-4
ILIPOISHIA
Khadija Kopa alizungumzia hali aliyokuwa nayo mara baada ya kutorokwa na mama yake, Hakuwa na hamu ya kula, hakutaka kuongea na mtu yeyote, mapenzi juu ya mama yake yalikuwa makubwa.
ENDELEA... Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa. Kama kusoma nilisoma sana japokuwa kila siku mawazo juu ya mama yangu…
10 years ago
Vijimambo
KHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI




Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Faceboo
10 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 7
Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia simulizi ya maisha yake. Yupo shuleni, anatamani kuimba, anapofanya hivyo, wanafunzi hasa wa kike wanaonekana kumuonea wivu na hivyo kumfunja moyo, kitu cha ajabu kwake, wavulana ndiyo waliokuwa wakimfariji, alipoambiwa hajui, wao walimwambia anajua kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.ENDELEA NAYOÖ AZIDI KUKERWA
Ngoja niseme ukweli kwamba kwa maneno ambayo alikuwa akiyazungumza siku...
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 5
ILIPOSHIA
Iliishia pale Khadija aliposema kwamba tayari alimaliza kufanya mtihani wa darasa la saba na hivyo kuelekea nyumbani. Huko, akamkuta mama yake, ilikuwa ni furaha mno kwani mapenzi juu ya mama yake yalikuwa makubwa.
ENDELEA.. Malkia wa…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania