Kichupa cha leo Nkaaba BY Zari "The Boss Lady"
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKIMENUKA INSTAGRAM LEO, TEAM WEMA WACHARUKA, WAMWEKA MTU KATI DIAMOND BAADA YA TETESI ZA KUTOKA NA ZARI THE LADY BOSS
Kinara wa Team Wema Dougiemasta15 huku instagram amefunguka haya kuhusu Diamond: kiroho safi kaka shemej wala hatugombani..ujue dai ss sote ni waafrica ndio wepesi kuja na conclusion na tunaudhaifu wa kuchunguza ujue shemej wengi tunataman kuamin kuwa hii ni project na surely we will b so proud ila shemej kinamna flan ww huaminiki huwa unakuwa na project nying sana lkn zinaend up kuwa coming soon...
mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny...
mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny...
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli!
Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana. Ni movie inaendelea? Diamond na Zari Picha za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja […]
9 years ago
VijimamboFAMILIA YA DIAAMOND PLATINUMS WAMMWAGA RASMI ZARI THE BOSS LADY
Sasa ni wazi kuwa familia ya staa mkubwa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnamz’ imemtema rasmi mzazi mwenzake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kile wanachodai …. “Tumechoshwa na uzungu wake”, Risasi Mchanganyiko linaweza kuandikaChanzo kilicho karibu na familia hiyo kililiambia gazeti hili kuwa kina taarifa kuwa mama Latiffa ‘Tiffah’ hatarejea tena nchini kutokana na kushindwana na wanafamilia, kwani wanaendekeza uswahili, kitu ambacho yeye hakiwezi.“Familia...
10 years ago
Vijimambo13 Nov
10 years ago
VijimamboBIG BOSS LADY ZARI AWEKA PICHA AKIWA NA MAMA YAKE PAMOJA NA MDOGO WAKE
Mdogo wake Zari nae ni Ng'ari Ng'ari hile full package kiroho safi.Mama wa Zari na Mdogo wake mama anaonekana kama kidogo afya siyo yenyewe labda utu uzima.Zari na kitu cha black mwilini hapa kabla ya vimarekani vya mimba kuchumoza.She is my Queen, my old sun aka Mama Zarinah Hassan Nasur!!!!
10 years ago
GPL12 Nov
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania