ZARI A.K.A "The Boss Lady": SIKU ALIPOFUNGUKA KUHUSU KUACHANA NA MUMEWE!
CREDITS: THE SPORAH Â SHOW
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli!
10 years ago
Vijimambo13 Nov
10 years ago
Vijimambo
FAMILIA YA DIAAMOND PLATINUMS WAMMWAGA RASMI ZARI THE BOSS LADY

Sasa ni wazi kuwa familia ya staa mkubwa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnamz’ imemtema rasmi mzazi mwenzake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kile wanachodai …. “Tumechoshwa na uzungu wake”, Risasi Mchanganyiko linaweza kuandikaChanzo kilicho karibu na familia hiyo kililiambia gazeti hili kuwa kina taarifa kuwa mama Latiffa ‘Tiffah’ hatarejea tena nchini kutokana na kushindwana na wanafamilia, kwani wanaendekeza uswahili, kitu ambacho yeye hakiwezi.“Familia...
10 years ago
VijimamboBIG BOSS LADY ZARI AWEKA PICHA AKIWA NA MAMA YAKE PAMOJA NA MDOGO WAKE
10 years ago
Vijimambo
KIMENUKA INSTAGRAM LEO, TEAM WEMA WACHARUKA, WAMWEKA MTU KATI DIAMOND BAADA YA TETESI ZA KUTOKA NA ZARI THE LADY BOSS

mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Kikaangoni Leo… Halima Yahya ‘Davina’ Agoma kutoa siri ya kuachana na mumewe
NI siku nyingine tena kwenye kolamu hii inayowakutanisha na mastaa mbalimbali Bongo na kufunguka mambo kadha wa kadha katika jamii inayowazunguka, kuhusiana na maisha yao kiujumla.
Leo katika kona hii, tunaye msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ ambaye amefunguka maswali mengi kama ifuatavyo;
Msomaji: Hadi sasa sijapata jibu ni kitu gani hasa kilichokufanya uachane na mumeo, hujui ndoa ni kitu cha kujivunia?
Davina: Hili suala la kuachana na mume wangu ni siri nzito ambayo tunaijua...