KIFO CHA MFALME ABDULLAH: NI UKUMBUSHO TOSHA MALI SI LOLOTE MBELE YA MUNGU!
Aliyebebwa na kisha kulazwa hapa ni Mfalme Abdullah wa Saudia. Aliswaliwa na kuzikwa huko Riyadh mapema wiki hii. Kuna mengi tunajifunza kwa kifo cha Mfalme huyu wa Duniani, Allah ampe kheri na jazaa huko akhera , ameen. Mfalme ambaye alikua na utajiri usomithilika, alikua na nguvu za kusema kile nataka hiki sitaki, alikua na uwezo mkubwa, lakini yote haya ulifika muda ikawa ni mwisho wake. Mwisho wa maamuzi. Hata akivuliwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJK AOMBOLEZA KIFO CHA Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa saudi Arabia
Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud (90) ambaye alifariki jana, Alhamisi, Januari 22, 2015, na kuzikwa leo, Ijumaa, Januari 23, 2015 mjini Riyadh.Katika salamu zake kwa Mfalme mpya, Mfalme Salman bin Abdul Aziz al Saud, Rais Kikwete amesema kuwa anaungana na wananchi wa Saudi Arabia na dunia nzima kuomboleza kifo cha kiongozi aliyetoa mchango mkubwa...
10 years ago
Dewji Blog25 Jan
Rais Kikwete aelekea Saudi Arabia kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amekwenda Saudi Arabia asubuhi ya leo, Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita.
Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ataendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.
Mjini Berlin, Ujerumani ambako Rais Kikwete alitarajiwa kuwasili kesho, Jumatatu, Januari...
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Mfalme Abdullah afariki dunia
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .
Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.
Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.
King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa...
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Mfalme Abdullah wa Saudia alazwa
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mfalme Abdullah afariki dunia
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Mfalme Abdullah:Viongozi waelekea Saudia
11 years ago
Mwananchi22 May
Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Ebola:Kifo cha pili charipotiwa Mali