Kigugumizi cha nini Uchaguzi Serikali za Mitaa?
Tunashangazwa na Serikali kuendelea kushikwa na kigugumizi linapokuja suala la kutaja tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kwa kawaida uchaguzi huo hufanyika Septemba kila mwaka wa uchaguzi, kwa maana ya mara moja kila baada ya miaka mitano.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014


11 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Kigugumizi cha nini IPTL
MOJA ya habari kubwa kwenye Gazeti hili jana ilihusu hatua ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kutaka aongezewe muda kukamilisha uchunguzi wa kashfa hiyo. Hatua hiyo...
11 years ago
Vijimambo20 Oct
RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA
10 years ago
GPLCHAMA CHA ACT-TANZANIA CHAFANYA TATHMINI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziCHAMA CHA ACT-TANZANIA CHAFANYA TATHMINI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR LEO.
10 years ago
VijimamboMBUNGE JAMES MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
10 years ago
MichuziMBUNGE JAMESN MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...