Kigugumizi cha nini IPTL
MOJA ya habari kubwa kwenye Gazeti hili jana ilihusu hatua ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kutaka aongezewe muda kukamilisha uchunguzi wa kashfa hiyo. Hatua hiyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Aug
Kigugumizi cha nini Uchaguzi Serikali za Mitaa?
11 years ago
Michuzi
IPTL yapiga jeki ujenzi wa kituo cha polisi cha Mbweni- Malindi


11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Nishati na Madini wapata kigugumizi
WAWAKILISHI wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, jana walijikoroga mbele ya Kamati ya Usuluhishi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), na hivyo kusababisha shauri lao...
11 years ago
GPL
LULU KIGUGUMIZI KANUMBA DAY
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Serikali yapata kigugumizi sekondari kufungwa
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshindwa kuweka wazi kufungwa kwa shule zake za sekondari kutokana na ukosefu wa chakula unaozikabili.
Badala yake imewatupia lawama wakuu wa shule zilizoamua kuwarudisha wanafunzi makwao kutokana na kukosa chakula cha kuwalisha.
Baadhi ya shule za sekondari nchini hivi karibuni zilifungwa kutokana na kukabiliwa na uhaba wa chakula baada ya wazabuni kugoma kuwasambazia chakula kwa sababu hawajalipwa fedha zao kwa muda mrefu.
Akizungumza na...
11 years ago
GPL
MAYA APATA KIGUGUMIZI NDOA YAKE
10 years ago
GPL
UNATAFUTA MCHUMBA? NINI CHA KUFANYA?
10 years ago
Vijimambo14 Sep
KIFO CHA MTOI NINI KILITOKEA

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, pamoja na makada wengine wa chama hicho, wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi (39), aliyefariki dunia juzi usiku kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, mazishi hayo yanatarajiwa kufanyika leo saa 7:00 mchana katika kijiji cha...
10 years ago
GPL
HAKURIDHISHI FARAGHA, NINI CHA KUFANYA?