Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAYA APATA KIGUGUMIZI NDOA YAKE

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE kwenye kilinge cha filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’, amepata kigugumizi cha ghafla kuzungumzia ndoa yake ambayo maandalizi yake ya awali yaliwahi kufanyika. Mkongwe kwenye kilinge cha filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Akizungumza na mwandishi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na ndoa hiyo iliyokuwa ifanyike mwaka juzi, Maya alishindwa kuzungumzia jinsi ilivyoyeyuka na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

KUJIFUNGUA KWA FLORAH,MBASHA APATA KIGUGUMIZI

Picha mbalimbali zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiuonyesha mwimbaji wa nyimbo za injili Florah Mbasha akiwa leba akijifungua zimezua utata baada ya aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha kupata kugugumizi kwa kutotoa majibu ya uhakika aliulizwa kuhusiana na kujifungua kwa mkewe huyo.Mbasha amehojiwa na Soudy Brown kupitia Uheard hakutoa majibu ya kuelewa baada ya kila anachoulizwa anajibu kwamba hamsikii kwamba ndiyo alikuwa anaaamka na simu ikakata.

Kumekuwa na sintofahamu kuhusu mimba...

 

9 years ago

Vijimambo

"Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake............Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani" - Tumaini Kilangwa

Tumaini Kilangwa au da Tuma, yeye ni mama wa watoto wawili, mke, na mfanyabiashara. katika mahojiano haya ambayo yote amerekodi na unaweza sikiliza (audio), ameongelea mambo mabali mbali kuanzia alipotokea, maisha yake ya elimu, maisha kama mama, maisha kama mke, na maisha kama mfanyabiashara. Ni mahojiano mazuri sana ambayo yanafundisha na kutia moyo kuwa hakuna lisilo wezekana kwa Mungu  (kama unaamini kuna Mungu). Tafadhali chukua muda wako umsikilize wala hutojutia...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Apata Pigo, Afiwa na Bibi Yake

MSIBA! Staa mwenye umri mdogo anayekimbiza katika filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amepata pigo baada ya kufiwa na bibi yake mzaa mama, Leonadina Mboneko, aliyefariki dunia juzi asubuhi katika Hospitali ya Masana, iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Amani mama mzazi wa Lulu, Lucresia Karugila alisema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu jambo lililomlazimu kumtoa nyumbani kwake Bukoba na kumleta jijini kwa ajili ya kupata...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mr Blue apata mtoto wa pili, jinsia yake ni?

Mr Blue na mke wake wamepata mtoto wa pili. Awamu hii familia hiyo imepata mtoto wa kike aitwaye, Khairriyaaa. Khairriya Herry Sameer “Alhamdulilahi mungu ni mwema sana sana, hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru,” ameandika Blue kwenye Instagram. “Nakushukuru sana mungu wangu na nakushukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine […]

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS SHEIN APATA FUTARI NA WAFANYAKAZI WA WIZARA ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili viwanja vya Ikulu kuhudhuria katika futari ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais. (Picha na Ikulu)Viongozi mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais wakiwa katika futari ya pamoja iliyotayarishwa jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza ziara yake mkoani Lindi, apata mapokezi mazuri Somanga Kilwa

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa Skafu na vijana na wa Chipukizi wakati alipowasili eneo la Somanga wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi akianza ziara yake ya siku 16 katika mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza sughuli za maendeleo zinazotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na wananchi, Katibu Mkuu huyo anaongozana naNape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na Mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani