Serikali yapata kigugumizi sekondari kufungwa
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshindwa kuweka wazi kufungwa kwa shule zake za sekondari kutokana na ukosefu wa chakula unaozikabili.
Badala yake imewatupia lawama wakuu wa shule zilizoamua kuwarudisha wanafunzi makwao kutokana na kukosa chakula cha kuwalisha.
Baadhi ya shule za sekondari nchini hivi karibuni zilifungwa kutokana na kukabiliwa na uhaba wa chakula baada ya wazabuni kugoma kuwasambazia chakula kwa sababu hawajalipwa fedha zao kwa muda mrefu.
Akizungumza na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Wizara ya Afya yapata kigugumizi deni la MSD
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imepatwa na kigumizi cha kueleza hali ya upatikanaji dawa katika hospitali za umma, kulikosababishwa na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
CWT yafichua siri sekondari kufungwa
Christina Gauluhanga na Patricia Kimelemeta
CHAMA Cha Walimu Tanzania(CWT) kimefichua siri ya baadhi ya shule za sekondari kufungwa kwa sababu ya kukosa chakula kikisema wakuu wa shule waliochukua uamuzi huo walifuata taratibu zote za sheria lakini serikali haikuwasikiliza.
Chama hicho kimesema kimeshangazwa na kauli ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,Jumanne Sagini kutangaza kuwachukulia hatua wakuu wa shule hao akisema walikiuka taratibu...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Kigugumizi cha nini Uchaguzi Serikali za Mitaa?
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Sekondari Mbeya yapata mtambo wa biogesi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjO4V1Lw8eS3YYTgJc-Q2Rg8ViqHaLa8DCLiTf6K9wzI7JuSY2xwqIjXPO8egMVp*jlkv1dT8O9x8*XuO5RIVgm5/001.MAKUMBUSHO.jpg)
SEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA
10 years ago
GPLBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Usalama Kenya:Serikali yapata pigo.
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Serikali yapata hasara bil 4/- ununuzi bandia
Na Debora Sanja, Dodoma
SERIKALI imesema imepata hasara ya zaidi ya Sh bilioni nane kutokana na risiti za ununuzi bandia.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alipozungumza katika majumuisho ya semina kwa wabunge kuhusu Mfumo wa Malipo nchini.
Mkuya alisema kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia hayapo.
“Ukichukua ile risiti ukienda dukani unakuta hakuna risiti kama hiyo ingawa inakuwapo...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Serikali yapata sh. bilioni 15 za kulipa madeni ya Mahindi
SERIKALI Serikali imepata mkopo wa sh. bilioni 15 ambazo zitatumika kulipa kiasi cha madeni ya mazao ya nafaka ambayo wakulima wanaidai kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa nyakati tofauti wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Iringa akiwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo katika mkoa huo.
Akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha Mazombe kilichopo Ilula...