Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekondari Mbeya yapata mtambo wa biogesi

Mradi wa gesi inayotumia kinyesi cha binadamu na wanyama wenye thamani ya zaidi ya Sh41 milioni ulizinduliwa na kukabidhiwa kwa Shule ya Sekondari Ilasi ili kuwa mfano kwa wengine katika mkakati wa kuokoa mazingira yanayoharibika kutokana na kukata miti kwa matumizi ya nishati ya kuni na mkaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Shule za Sekondari nchini zashauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi

image_2Mkuu wa Shule ya Sekondari Manzese Bw.Linus Mwakasege akitoa ufafanusi kwa waandishi wa habari kuhusu manufaa ya mradi wa nishati endelevu ya Biogesi utakavyowanufaisha wanafunzi wa shule hiyo. (Picha zote na Aron Msigwa-MAELEZO).

Aron Msigwa-MAELEZO

9/9/2015.Dar es salaam.

Shule za Sekondari kote nchini zimeshauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi na majiko sanifu ili kulinda na kuhifadhi mazingira.

Ushauri huo umetolewa na Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji...

 

9 years ago

Michuzi

SHULE ZA SEKONDARI NCHINI ZASHAURIWA KUWEKEZA KATIKA MATUMIZI YA NISHATI ENDELEVU YA BIOGESI.

 Mtalaam wa masuala ya Biogesi na Majiko Sanifu wa Taasisi ya kuendeleza Nishati Asilia na Uhifadhi wa Mazingira Tanzania ( TaTEDO) Bw.Stephen Boniface akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu ujenzi wa mtambo wenye uwezo wa kuzalisha gesi yenye mita za ujazo 200 walioujenga katika shule  ya Sekondari Manzese iliyoko wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Manzese Bw.Linus Mwakasege. Mkuu wa Shule ya Sekondari Manzese Bw.Linus...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA ENDUIMET WILAYA YA LONGIDO YAPATA MTAMBO WA NGUVU ZA JUA

Paroko wa Kanisa Katoliki,Parokia ya Enduimet,Jimbo Kuu la Arusha,Padri Pius Shao(katikati)akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuzalisha Umeme kwa nguvu za Jua ,kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kusambaza Teknolojia(KAKUTE),Livinus Manyanga na Afisa Elimu Sekondari wilaya ya Longido,Gerson Mtera. Mkurugenzi wa Kampuni ya Kusambaza Teknolojia(KAKUTE),Livinus Manyanga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuzalisha Umeme kwa nguvu za Jua katika hospitali ya Kanisa...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yapata kigugumizi sekondari kufungwa

Jumanne-SaginiNa Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshindwa kuweka wazi kufungwa kwa shule zake za sekondari kutokana na ukosefu wa chakula unaozikabili.
Badala yake imewatupia lawama wakuu wa shule zilizoamua kuwarudisha wanafunzi makwao kutokana na kukosa chakula cha kuwalisha.
Baadhi ya shule za sekondari nchini hivi karibuni zilifungwa kutokana na kukabiliwa na uhaba wa chakula baada ya wazabuni kugoma kuwasambazia chakula kwa sababu hawajalipwa fedha zao kwa muda mrefu.
Akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA

Wanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho,Mariam Rajabu na Faraja Abdallah wakimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kulia) akiwafafanulia jambo kuhusiana na matumizi ya kompyuta mpakato zilizokabidhiwa na mfuko huo kwa kushirikiana na Samsung ikiwa ni msaada kwa wanafunzi wa shule hiyo kuweza kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta.
Baadhi ya wanafunzi...

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA PIGO JIJI LA MBEYA


  Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri  ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo Jumatatu Februari 24, 2020.
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa...

 

9 years ago

Vijimambo

TUICO YAPATA VIONGOZI WAPYA MKOANI MBEYA

Katibu wa TUICO  Mkoa wa Mbeya Ndugu Merboth Kapinga akizungumza na wajumbe wa Tuico siku ya uchaguzi uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Otu jijini Mbeya.(JAMIIMOJABLOG)Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa pamoja.Na Emanuel Madafa, Mbeya
CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri Mkoa wa Mbeya, kimefanikiwa kupata viongozi wapya watakao kiongoza chama hicho katika kipindi cha miaka mitano 2015  hadi 2020.


Uchaguzi umefanyika katika chuo cha...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatoa msaada wa vitabu sekondari Mbeya.

Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Mbeya, Bw Iddy Mwacha(kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu vya masomo kwa mmoja wa wanafunzi aliewawakilisha wanafunzi wenzie na uongozi wa shule ya sekondari Sinde iliyopo eneo la Mwanjelwa mkoani Mbeya katika kupokea msaada huo ikiwa ni mwendelezo wa harakati za benki hiyo katika kuisadia serikali kuboresha hali elimu na ufaulu wa wanafunzi hapa nchini. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo, uongozi wa shule pamoja na ...

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule, (aliyeshika vitabu) akifurahia jambo mara baada ya kukabidhiwa msaada wa vitabu vya masomo tofauti tofauti kutoka kampuni ya  simu ya Airtel jana. katikati ni Ofisa Masoko wa kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga na Ofisa Mauzo wa kampuni hiyo Mbeya Priscus Kimario.    Ofisa Masoko wa kampuni ya simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani