Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara ya Afya yapata kigugumizi deni la MSD

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imepatwa na kigumizi cha kueleza hali ya upatikanaji dawa katika hospitali za umma, kulikosababishwa na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA, MHE. UMMY MWALIMU ATEMBELEA MSD, AAHIDI KUWA BALOZI WAO NA KUWATATULIA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI IKIWEPO DENI WANALOIDAI SERIKALI

ummy-msd 175Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD Prof.Idris Mtulia.Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yapata kigugumizi sekondari kufungwa

Jumanne-SaginiNa Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshindwa kuweka wazi kufungwa kwa shule zake za sekondari kutokana na ukosefu wa chakula unaozikabili.
Badala yake imewatupia lawama wakuu wa shule zilizoamua kuwarudisha wanafunzi makwao kutokana na kukosa chakula cha kuwalisha.
Baadhi ya shule za sekondari nchini hivi karibuni zilifungwa kutokana na kukabiliwa na uhaba wa chakula baada ya wazabuni kugoma kuwasambazia chakula kwa sababu hawajalipwa fedha zao kwa muda mrefu.
Akizungumza na...

 

10 years ago

Mwananchi

Deni la MSD lawakera wabunge

>Wabunge wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na wa Kambi ya Upinzani Bungeni, wameitaka Serikali kulipa deni la Sh125 bilioni ambalo Bohari Kuu ya Dawa (MSD) inadaiwa na pia kuilipa Hospitali ya Apollo ya nchini India.

 

10 years ago

Dewji Blog

SIKIKA yalia na deni la MSD

L;L;;PO

Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi wetu

MKURUGENZI Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, amesema taasisi hiyo imesikitishwa na taarifa kuwa vituo vya kutolea huduma ya afya nchini vinakabiliwa na uhaba wa dawa na vifaatiba.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kiria, alisema upungufu huo unasemekana umekuwa ukiwaathiri zaidi wananchi wasiokuwa na bima za afya.

Alisema uhaba huo wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yapunguza deni MSD

Serikali imeendelea kulipa malimbikizo ya deni la Sh40 bilioni inalodaiwa na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa kutoa Sh10 bilioni hivi karibuni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali iharakishe kulipa deni la MSD

MOJA ya taarifa iliyopo katika gazeti hili ni ile ya mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), kuutaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa, zikalipie deni la...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yasikia kilio deni kubwa la MSD

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaHATIMAYE kilio cha wagonjwa kupoteza maisha na kuteseka, kutokana na uhaba mkubwa wa dawa katika hospitali nyingi nchini, kunakotokana na Bohari ya Taifa ya Dawa (MSD) kuishiwa dawa, kwa kutolipwa zaidi ya Sh bilioni 102 na Serikali, kimesikika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mpina: Bunge liahirishwe, fedha zikalipie deni MSD

MBUNGE wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), ametaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini hapa, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa zikalipie deni la zaidi ya sh bilioni 90 inalodaiwa Serikali na Bohari Kuu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lipumba aonya serikali kuhusu IPTL, deni MSD

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka serikali kuacha mzaha wa kuchezea maisha ya watanzania katika upatikanaji wa mahitaji muhimu, ikiwa ni pamoja na dawa za tiba mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani