SIKIKA yalia na deni la MSD
Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, amesema taasisi hiyo imesikitishwa na taarifa kuwa vituo vya kutolea huduma ya afya nchini vinakabiliwa na uhaba wa dawa na vifaatiba.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kiria, alisema upungufu huo unasemekana umekuwa ukiwaathiri zaidi wananchi wasiokuwa na bima za afya.
Alisema uhaba huo wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Serikali yapunguza deni MSD
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Deni la MSD lawakera wabunge
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Serikali iharakishe kulipa deni la MSD
MOJA ya taarifa iliyopo katika gazeti hili ni ile ya mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), kuutaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa, zikalipie deni la...
10 years ago
Habarileo11 Nov
Serikali yasikia kilio deni kubwa la MSD
HATIMAYE kilio cha wagonjwa kupoteza maisha na kuteseka, kutokana na uhaba mkubwa wa dawa katika hospitali nyingi nchini, kunakotokana na Bohari ya Taifa ya Dawa (MSD) kuishiwa dawa, kwa kutolipwa zaidi ya Sh bilioni 102 na Serikali, kimesikika.
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Wizara ya Afya yapata kigugumizi deni la MSD
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imepatwa na kigumizi cha kueleza hali ya upatikanaji dawa katika hospitali za umma, kulikosababishwa na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na...
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Lipumba aonya serikali kuhusu IPTL, deni MSD
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka serikali kuacha mzaha wa kuchezea maisha ya watanzania katika upatikanaji wa mahitaji muhimu, ikiwa ni pamoja na dawa za tiba mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Mpina: Bunge liahirishwe, fedha zikalipie deni MSD
MBUNGE wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), ametaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini hapa, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa zikalipie deni la zaidi ya sh bilioni 90 inalodaiwa Serikali na Bohari Kuu...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Deni la MSD, waliovamia shamba la SUMAYE, Bomoabomoa, mafuriko…‪#‎MAGAZETINI
MWANANCHI Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki amewataka waliovamia na kujigawia maeneo ya watu wengine likiwamo la Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Ritha Mlaki waondoke mara moja kwa kuwa wamevunja sheria. Alisema zaidi ya watu 2,000 wakiwamo waliobomolewa nyumba katika baadhi ya maeneo jijini […]
The post Deni la MSD, waliovamia shamba la SUMAYE, Bomoabomoa, mafuriko…#MAGAZETINI appeared first on...
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Waziri Ummy atembelea MSD, aahidi kuwa balozi wao na kuwatatulia changamoto zinazowakabili ikiwepo deni wanaloidai serikali
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD Prof.Idris Mtulia.
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea Makao Makuu ya Bohari ya Dawa (MSD) na kuahidi kuwa balozi wa kuhakikisha deni la serikali linalipwa ili kuiwezesha MSD kutekeleza majukumu...