Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiiza kupewa chake Jumamosi

MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Simba, Hamisi Kiiza ambaye aliibuka Mchezaji Bora wa mwezi atakabidhiwa zawadi yake ya Sh milioni moja mwishoni mwa wiki hii na wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

VODACOM KUMKABIDHI KIIZA KITITA CHAKE

Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza. MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza, anatarajiwa kukabidhiwa zawadi yake ya Sh milioni 1/-ya Mchezaji Bora wa Mwezi na wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, baada ya kuibuka kidedea Septemba. Kiiza alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Septemba baada ya kufanya vema katika mwezi wa kwanza wa ligi hiyo, akiisaidia timu yake ya Simba...

 

9 years ago

Michuzi

HAMIS KIIZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

 Mchezaji wa Simba Hamis Kiiza(kushoto)akiwaonesha mashabiki wa timu yake  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- aliyokadhiwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia)ambao ni wadhamini wakuu wa lihi hiyo kwa kuibuka  mchezaji bora wa ligi wa mwezi septemba wakati wa mechi ya timu hiyo na Majimaji iliyochezwa mwishoni mwa wiki ambapo timu yake ilishinda 6-1.Wengine katika picha wapili toka kushoto ni Meneja biashara wa TFF,Peter Simon na Ofisa Udhamini na...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA WALEMAVU DUNIANI ZANZIBAR YASHEREHEKEWA KITAIFA CHAKE CHAKE, PEMBA

 Waziri  wa Biashara,  Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri akipokea maandamano ya watu wenye ulemavu wakati wakipita mbele yake kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake, Pemba  Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazuri aliekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya watu wenye duniani ambayo kitaifa kwa Zanzibar...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO SKULI MPYA YA MICHAKAINI WILAYA YA CHAKE CHAKE YAFUNGULIWA RASMI


JENGO la ghorofa moja la skuli mpya ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, ambalo lilijengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, kabla ya balozi wa nchi hiyo, nchini Tanzania Masaharu Yoshida kulifungua rasmi. BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, wakikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli ya Michakaini lililojengwa na serikali ya watu wa Japan. MWENYEKITI wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA

Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Wananchi ( Cuf ) wakimsikiliza mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano uliofanyika viwanja wa Tibirizi, Chake Chake Pemba leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Cuf, Maalim Seif akihutubia mkutano wa hadhara wakati akinadi sera zake katika viwanja vya Tibirizi, Chake Chake Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AZINDUA UKUMBI WA MIKUTANO WA MAKONYO CHAKE CHAKE PEMBA

Balozi Seif akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria ufunguzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Makonyo { Makonyo Conference Cetre } wakati akiingia kwenye eneo hilo. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Bishara, Viwanda na Masoko Mh. Nassor Ahmed Mazrui, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Omar Khamis Othman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwanajuma Majid.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi ukumbi wa Mikutano uliopo Kiwanda cha Makonyo Wawi Chake...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AZUNGUMUZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Chake Chake Pemba ambapo aliwataka viongozi wa CCM kutenda haki, kujipanga na kuchagua viongozi wanaokubalika.Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdala akisalimia wananchi wa Mchangani, ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alifika kushiriki ujenzi wa tawi la CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akishiriki ujenzi wa ofisi ya Tawi la CCM...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM — Gombani Chake Chake, Pemba.

Sikiliza mkutano huu moja kwa moja kupitia channel hii http://mixlr.com/muumbela

The post Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM – Gombani Chake Chake, Pemba. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

MWAKILISHI JIMBO LA CHAKE CHAKE APELEKEKA HOSPITALI DAWA NA VIFAA TIBA VILIVYOPITA MUDA WA MATUMIZI

MWAKILISHI viti maalumu wanawake CUF wilaya ya Chake Chake, Mhe. Salma Mohamed Ali (kulia) akimkabidhi dawa na vifaa tiba,   Daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake, Dk. Yussufu Hamad Idd vilivyotolewa na mwakilishi wa Jimbo la Chake chake, Mhe. Omar Ali Shehe, Mei 3 mwaka huu, kabla ya baadhi ya vifaa na dawa hizo kugunduilika kupitiwa na muda wake wa matumizi. BAADHI ya dawa na vifaa tiba zilizotolewa hivi karibuni na Mwakilishi wa Jimbo la Chake Chake, Mhe. Omar Ali Shehe ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani