‘Kijana wa Mwamunyange’ akwama tena
Mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani anayekabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za uongo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange amelishwa sumu na kupelekwa nchini Kenya kwa matibabu anaendelea kusota rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Oct
Lwakatare akwama kufika shaurini
MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare jana alishindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusikiliza kesi ya kujaribu kudhuru kwa sumu inayomkabili pamoja na Ludovick Joseph.
10 years ago
Habarileo27 Feb
Chenge akwama, akata rufaa
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ameendelea kupambana ili Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, lisiendelee kusikiliza shauri lake, licha ya pingamizi lake kutupiliwa mbali jana.
10 years ago
Habarileo07 Feb
Kafulila akwama kufufua ya Escrow
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.
11 years ago
Habarileo24 Jan
Shekhe akwama kwenda kutibiwa India
SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Sheikh Ponda akwama Mahakama Kuu
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Chui akwama kwenye chungu akisaka maji
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-zDLD6MdNpWY/Tzts3Xyqf5I/AAAAAAAA-Ac/2PfNEmO96jg/s72-c/re3.jpg)
MISS TANZANIA SHAKANI, LUNDENGA AKWAMA MAHAKAMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zDLD6MdNpWY/Tzts3Xyqf5I/AAAAAAAA-Ac/2PfNEmO96jg/s640/re3.jpg)
NA FLORA MWAKALASA - HABARI LEO.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na mwanzilishi wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga dhidi ya ombi la kuzuiwa kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
Hakimu Mkazi Frank Moshi alitoa uamuzi huo jana baada ya kupitia hoja za pingamizi hilo lililowasilishwa na Lundenga kupitia kwa Wakili wake Audax Kahendaguza.
Akitoa uamuzi...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-v2Zv8tAmJYs/VBxXPhzcjWI/AAAAAAAAhaQ/xzc3cff0xbI/s72-c/KAJALA%2B(6).jpg)
KAJALA AKWAMA PESA YA KUMTOA MUMEWE JELA
![](http://4.bp.blogspot.com/-v2Zv8tAmJYs/VBxXPhzcjWI/AAAAAAAAhaQ/xzc3cff0xbI/s640/KAJALA%2B(6).jpg)
“Nampenda sana mume wangu, hilo halina ubishi na pia najua anateseka...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilqkeKs5dgj-SK-zijgIKf6ctgUP2erkkysYcO7IvM6txccuQCmiuEMDmv0UHwMCuhsWlqwKU5WF*UmsOhZasfae/kajala.jpg)
KAJALA AKWAMA PESA YA KUMTOA JELA MUMEWE