KIJIWE CHA UGHAIBUNI MAALUM KWA MDAU ERIC BAHUNDE
Kijiwe cha Ughaibuni kinamtakiwa mwenzao Eric Bahunde (shati la njano) afya njema na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka Eric Bahunde amelazwa University of Maryland Medical Center kwa matibabu baada ya kupata ajali ya kukatika kwa miguu yote na mkono wa kulia. Kruu nzima ya Kijiwe cha ughaibuni inawaomba Watanzania wote wajitahidi kufika Hospitali kumjulia hali yupo ghorofa ya 6 chumba namba 8 na muulizie kwa jina la Elisha Bahunde Eric anapenda vyakula vya Kitanzania kama unaweza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi7lCN2qFvc/VHdjfV6KDYI/AAAAAAADOZA/oekLlR6iSiA/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
WADAU DMV WASHEREHEKEA THANKSGIVING KWA KUMJULIA HALI ERIC BAHUNDE
![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi7lCN2qFvc/VHdjfV6KDYI/AAAAAAADOZA/oekLlR6iSiA/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--OcCmMny8Tc/VHdlM-A-eKI/AAAAAAADOZM/c5H4Fu7mAWc/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-dvdiU29Zmdg/VHdn4pYWr_I/AAAAAAADOZY/975j4FwuwNk/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s72-c/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
KU RECORD KIJIWE CHA UGHAIBUNI NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s640/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
Wadau wa Diaspora mnakaribishwa ku record kijiwe cha Ughaibuni siku ya jumapili tarehe 23 kuanzanzia saa 10 jioni. nyumbani kwa Dr Temba maudhui ya Kijiwe hicho ni kuzungumzia mchakato mzima wa siasa ya nchi yetu ya Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi Oct 25. Mtu yeyote anakaribishwa kuja kuchangia hoja ya mtazamo na uelewa wake juu ya yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuelekea kwenye uchaguzi. Piga simu hii #347 -475 -4313 kupata usaili wa jinsi ya kuhudhuria kijiwe hicho. Watu 10...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s72-c/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
KIJIWE CHA UGHAIBUNI NA WADAU TOKA NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s640/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
11 years ago
Michuzi11 Feb
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s72-c/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUREKODIWA NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA. Posted: 12 Aug 2015 09:15 AM PDT
![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s640/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
Wadau wa Diaspora mnakaribishwa ku record kijiwe cha Ughaibuni siku ya jumapili tarehe 23 kuanzanzia saa 10 jioni. nyumbani kwa Dr Temba maudhui ya Kijiwe hicho ni kuzungumzia mchakato mzima wa siasa ya nchi yetu ya Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi Oct 25.
Mtu yeyote anakaribishwa kuja kuchangia hoja ya mtazamo na uelewa wake juu ya yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuelekea kwenye uchaguzi. Piga simu hii #347 -475 -4313 kupata usaili wa jinsi ya kuhudhuria kijiwe hicho. Watu 10...
11 years ago
GPL10 Dec
11 years ago
Michuzi04 Feb
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IbjH2XL6qkY/U1R0cW8j-OI/AAAAAAAFcFw/SUjf2gV1z_E/s72-c/IMG_5028.jpg)
ankal ndani ya kijiwe cha ughaibuni
![](http://2.bp.blogspot.com/-IbjH2XL6qkY/U1R0cW8j-OI/AAAAAAAFcFw/SUjf2gV1z_E/s1600/IMG_5028.jpg)
11 years ago
Michuzi19 Mar