Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU DMV WASHEREHEKEA THANKSGIVING KWA KUMJULIA HALI ERIC BAHUNDE

Wadau DMV kutoka kushoto ni Louis Mushi, Yasin Randi katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Said Mwamende wakiwa nyumbani wa Eric Bahunde walipotumia muda wao na sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Thanksgiving ambayo leo ni mapumziko nchini Marekani kwa kumtembelea na kumjulia hali Eric ambaye pia ni rafiki wa karibu wa Said Mwamende.Yasin Randi katika picha ya pamoja na Eric BahundeKatibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Saidi Mwamende wakiwa na Eric Bahunde wakipata chakula siku ya leo katika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIJIWE CHA UGHAIBUNI MAALUM KWA MDAU ERIC BAHUNDE

Kijiwe cha Ughaibuni kinamtakiwa mwenzao Eric Bahunde (shati la njano) afya njema na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka Eric Bahunde amelazwa University of Maryland Medical Center kwa matibabu baada ya kupata ajali ya kukatika kwa miguu yote na mkono wa kulia. Kruu nzima ya Kijiwe cha ughaibuni inawaomba Watanzania wote wajitahidi kufika Hospitali kumjulia hali yupo ghorofa ya 6 chumba namba 8 na muulizie kwa jina la Elisha Bahunde Eric anapenda vyakula vya Kitanzania kama unaweza...

 

10 years ago

Michuzi

Mtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba yake hii

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

10 years ago

Vijimambo

Wakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini Marekani.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

GPL

ASKARI WA JKT WAENDA KUMJULIA HALI MWENYEKITI WAO ALIYETEKWA

Mwenyekiti wa JKT, George Mgoba akiwa wodini.…

 

10 years ago

Michuzi

JK akutana na Jaji Mkuu wa Tanzania na ujumbe wake waliomtembelea kumjulia hali marekani


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu waTanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake walipomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.  

Jaji Mkuu na ujumbe wake wako Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa...

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKIWASILI HOSPITALI KUMJULIA HALI MBOWE

Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson akiwasili katika Hospitali ya DCMC Ntyuka kumjulia hali M/Kiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe aliyelazwa katika hospitali hiyo akipatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana.
*****
Naibu Spika, Dk.Tulia Ackson  amemjulia hali Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe katika Hospitali ya Ntyuka, Dodoma anakopatiwa matibabu  baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana na kisha kujeruhiwa na kuvunjwa mguu mmoja na kusema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

10 years ago

GPL

JK ATEMBELEWA NA JAJI MKUU WA TANZANIA NA UJUMBE WAKE WALIOFIKA KUMJULIA HALI BALTIMORE, MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Rais Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

UNAWEZA KUMTUMIA UJUMBE RAIS JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI KWENYE NAMBA YAKE HAPO CHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani