Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKWETE AAGWA NA WAHANDISI JIJINI DAR

Dkt. Jakaya Kikwete akiingiza ufunguo wa trekta aliyozawadiwa na Bodi ya Wahandisi kama ishara ya kumtakia maisha mema anapoelekea kupumzika. Dkt. Kikwete akishuka katika trekta aliyopewa mara baada ya kukabidhiwa kwenye hafla hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aagwa na Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini mapema leo jijini Dar es Salaam

1 (1)

Picha ya juu na chini: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi  na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

2 (1)

…Naaga!!

 

10 years ago

GPL

SYLVESTRE MARSH AAGWA JIJINI DAR

Padre akiongoza ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Waombolezaji wakifuatilia ibada ya kumuaga Marsh katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Michezo ya Championi, Saleh Ally akiaga mwili wa kocha Marsh.…

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU GEORGE TYSON AAGWA LEO JIJINI DAR


Sehemu ya Wacheza Filamu nchini waliokuwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakijipanga tayari kwa akili ya kuongoza shughuli ya Kuga mwili iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo baada ya kukamiliza kwa mipango yote.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick...

 

11 years ago

GPL

EMMANUEL TEMU AAGWA LEO HOSPITALI YA TEMEKE JIJINI DAR

Mama wa marehemu Emmanuel, Hilda Lewi Nambuo Temu akiaga mwili wa mwanaye kwa simanzi. Ndugu, jamaa na marafiki wakiaga mwili wa marehemu Emmanuel.…

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA AAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA KILIMANJARO

Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Lydia Bukumbi akiaga mwili wa Robert Tillya. Mwandishi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata akiuaga mwili wa mfanyakazi mwenzake kwa simanzi.…

 

11 years ago

Michuzi

Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) aagwa leo jijini dar

 Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni.   Bw. Saguda ambaye ndie alikuwa mchumba wa Marehemu akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.  Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steven Nyerere akilia kwa uchungu.  Sehemu ya...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI MAGEREZA ALIYEKUFA AJALINI MKURANGA AAGWA CHUO CHA MAAFISA MAGEREZA UKONGA LEO, JIJINI DAR ES SALAAM

 Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza, Deonice Chamulesile akiwaongoza Mamia ya Waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Sajini wa Magereza, Peter Shelukindo aliyefariki kwa ajali ya gari Aprili 22, 2014 majira ya saa Saba mchana wakati akisindikiza Mahabusu kutoka Mahakama ya Mwanzo Kimanzichana Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Katika ajali hiyo pia walikufa Mahabusu wanne waliokuwa wanatoka kusikiliza kesi zao.  Baadhi ya Askari wa Jeshi la Magereza...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB)

Na Aron Msigwa  Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu katika maeneo mbalimbali nchini.  Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi kwa mwaka 2015 jana  jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa Wahandisi wanao mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi kwa kuifanya mipango iliyo kwenye karatasi kuwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani