Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete akabidhi tuzo BRN Mbinga

E85A4252

Baadhi ya wanafunzi wa Darasa la saba kutoka kata ya Kigonsera Kilayani Mbinga wakipata chakula cha mchana.(Picha na Maktaba).

*Chakula cha mchana chapandisha taaluma

———————–

Na Hannah Mayige, Mwanafunzi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania – OUT

Mafanikio ya kukabiliana na changamoto ya utoro wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma kwa kutumia chakula cha mchana kumeiletea sifa wilaya hiyo hadi kupata ngao ya kitaifa katika taaluma mtihani wa kuhitimu darasa la saba (Std VII) 2013.

Ngao hiyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK azindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma, Barabara ya Peramiho -Mbinga

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa jiwe la Msingi kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma leo.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wairi wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwana...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete akataa ombi la kugawa wilaya ya Mbinga

RAIS Jakaya Kikwete amekataa maombi ya Mbunge wa Mbinga Mashariki, Gaudence Kayombo ya kutaka wilaya ya Mbinga igawanywe.

 

10 years ago

Michuzi

Mtendaji Mkuu BRN Bw. Omar Issa atunukiwa tuzo ya Mbia Bora wa Mwaka

MTENDAJI Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji na Usimamizi wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa (pichani) ameanza kutambulika mchango wake hapa nchini baada ya kutunukiwa  Tuzo ya Mbia Bora wa Umma wa Mwaka (Public Partner of the Year).Tuzo hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Taasisi ya Maafisa Watendaji Wakuu (CEOs-Roundtable) inayojumuisha watendaji waandamizi kutoka sekta binafsi.Bw. Issa, ambaye ni  mmoja wa watanzania...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atoa Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Mbinga,Mh. John Komba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko mkubwa na huzuni nyingi taarifa za kifo cha ghafla cha Mheshimiwa Kepteni John Damian Komba, Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM na msanii hodari sana wa kizazi chake.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda na Katibu Mkuu wa CCM, MheshimiwaAbdulrahman Kinana, Mheshimiwa Kikwete...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kikwete mwenyeji tathmini BRN

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

Irp-Press-Release-kiswahili.docx by moblog

 

9 years ago

Michuzi

ITUMIENI BRN KULETA MABADILIKO:KIKWETE

Na Mwandishi WetuRAIS Jakaya Kikwete ambaye siku chache zijazo atamaliza muhula wake wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Tanzania, amewaaga watumishi wa umma nchini kwa kutoa rai kuwa ili kuendeleza mageuzi katika kuwatumikia wananchi ni vyema wakautumia vyema mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Rais Kikwete aliyasema hayo katika sherehe maalum iliyoandaliwa na watumishi wa umma kumuaga na kufanyika Dar es Salaam Alhamisi usiku. Watumishi wa umma walitumia fursa hiyo kumpa Rais tuzo na zawadi...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKABIDHI TUZO ZA RAIS KWA MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI NCHINI

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii  (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE....

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akifurahia kikundi cha Ngoma cha mkoa wa Ruvuma katika sherehe ya uzinduzi wa Daraja la Ruhekei lililopo katika barabara Mbinga –Mbamba bay mkoani Ruvuma. Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli wa kwanza kulia wakifanya ishara ya kuweka jiwe la msingi na kufungua Daraja la Ruhekei linalounganisha kati ya Mbinga na Mbamba Bay mkoani Ruvuma. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua Daraja la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani