Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete akataa ombi la kugawa wilaya ya Mbinga

RAIS Jakaya Kikwete amekataa maombi ya Mbunge wa Mbinga Mashariki, Gaudence Kayombo ya kutaka wilaya ya Mbinga igawanywe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akifurahia kikundi cha Ngoma cha mkoa wa Ruvuma katika sherehe ya uzinduzi wa Daraja la Ruhekei lililopo katika barabara Mbinga –Mbamba bay mkoani Ruvuma. Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli wa kwanza kulia wakifanya ishara ya kuweka jiwe la msingi na kufungua Daraja la Ruhekei linalounganisha kati ya Mbinga na Mbamba Bay mkoani Ruvuma. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua Daraja la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri akataa ombi la mfalme wa Afrika Kusini

Waziri wa haki wa Afrika Kusini amefutilia mbali ombi la kutaka kesi inayomkabili mfalme wa jamii ya Nelson Mandela ya Thembu isikizwe upya.

 

11 years ago

Michuzi

JK azindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma, Barabara ya Peramiho -Mbinga

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa jiwe la Msingi kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma leo.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wairi wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kikwete akabidhi tuzo BRN Mbinga

E85A4252

Baadhi ya wanafunzi wa Darasa la saba kutoka kata ya Kigonsera Kilayani Mbinga wakipata chakula cha mchana.(Picha na Maktaba).

*Chakula cha mchana chapandisha taaluma

———————–

Na Hannah Mayige, Mwanafunzi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania – OUT

Mafanikio ya kukabiliana na changamoto ya utoro wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma kwa kutumia chakula cha mchana kumeiletea sifa wilaya hiyo hadi kupata ngao ya kitaifa katika taaluma mtihani wa kuhitimu darasa la saba (Std VII) 2013.

Ngao hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli asema Wilaya ya Nyasa - Mbinga kuunganishwa kwa kwa Barabara ya Lami

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli, (Mb) amesema kuwa Serikali itajenga barabara kwa kiwango cha lami kuunganisha Wilaya ya Mbinga hadi Mbamba bay Wilaya mpya ya Nyasa itakayokuwa na urefu wa Kilometa 67.
Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana alipokuwa anahutubia mamia ya Wakazi wa Nyasa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa miguu Mbamba bay, mara baada ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kiwete kufungua Madaraja pacha ya Ruhekei A, B na C yaliyogharimu kiasi cha Tsh....

 

10 years ago

Bongo Movies

Tujikumbushe: Mzee Majuto na Ombi lake kwa Rais Kikwete

Akihojiwa katika Kipindi cha Mkasi cha EATV mwishoni mwa mwaka 2014, Msanii Mkongwe wa vichekesho na mchekeshaji bora zaidi aliyewahi kutokea Tanzania, Amr Athuman almaarufu kama Mzee Majuto, alitoa ombi lake la kununuliwa Trekta ili kuweza kumudu kuendesha maisha yake ya uzeeni kupitia kilimo baada ya kuachana na sanaa ya maigizo aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

Kwa msisitizo mkubwa, Mzee Majuto alimwomba Rais wa JMT, Mhe. Jakaya Kikwete kama anamsikiliza, amsaidie kwenye hilo na...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atoa Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Mbinga,Mh. John Komba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko mkubwa na huzuni nyingi taarifa za kifo cha ghafla cha Mheshimiwa Kepteni John Damian Komba, Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM na msanii hodari sana wa kizazi chake.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda na Katibu Mkuu wa CCM, MheshimiwaAbdulrahman Kinana, Mheshimiwa Kikwete...

 

11 years ago

GPL

KIOJA CHA KUFUNGA MWAKA: JAMAA APANDA JUU YA MNARA, AKATAA KUSHUKA MPAKA AONANE NA RAIS KIKWETE

Wanausalama wakipanda juu ya mnara kumnusuru jamaa huyo.…

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ateua wakuu wa wilaya 13

ais Jakaya Kikwete amewateua wakuu wapya 13 wa wilaya na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani