Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kuanza ziara Tanga

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mkoani Tanga leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku nne mkoani hapa, itakayoambatana na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya nne atakazotembelea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kinana kuanza ziara ya siku 2 Tanga

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuwasili leo kwa ajili ya kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili katika baadhi ya wilaya za mkoa wa Tanga.

 

11 years ago

Habarileo

Rais kuanza ziara Tanga Jumapili

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mkoani Tanga kesho ili kuanza ziara ya siku nne ya kikazi katika baadhi ya maeneo ya mkoani humo. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa amebainisha hayo wakati akiwasilisha taarifa kwa vyombo vya habari kupitia mkutano na wanahabari uliofanyika ofisini kwake jana mchana.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUANZA ZIARA MKOANI TANGA KESHO


MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo leo ambao hawapo pichani kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu

MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa
habari mkoani humo kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu mkoani hapa


WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili jijini Tanga kesho June Mosi Mwaka huu kwa ziara maalum ya kutembelea na...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete kuanza ziara Ruvuma

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya siku saba mkoani Ruvuma. Katika ziara hiyo, Rais anatarajiwa kutembelea halmashauri zote sita zilizopo kwenye wilaya tano na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga

unnamed (66)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.

unnamed (67)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga kuanza upimaji Saratani ya matiti bila malipo

Serikali wilayani hapa, inatarajia kuendesha upimaji wa saratani ya matiti na kizazi bila malipo ili kuwawezesha wanawake kutambua afya zao mapema kabla ya maradhi hayo hayajajitokeza.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

JK KATIKA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA MKOANI TANGA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Handeni ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdala Kigoda wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu ,Mkata wilaya ya Handeni mkoani Tanga.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia ngoma ya asili ya Kizigua
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa Mkata wilayani Handeni waliojitokeza kwenye mapokezi ya katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani