Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kuanza ziara Ruvuma

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya siku saba mkoani Ruvuma. Katika ziara hiyo, Rais anatarajiwa kutembelea halmashauri zote sita zilizopo kwenye wilaya tano na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA MKOANI RUVUMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa   anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Ruvuma, ambapo atawasili mkoani  hapo  leo saa tisa alasiri.
Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.
Aidha, siku ya jumatatu  atakuwa na shughuli za kufungua  tawi la Benki ya Posta mjini Songea, kukagua  maghala ya Wakala wa Taifa wa  Hifadhi ya chakula  (NFRA) kanda ya Songea na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuanza ziara Mkoani Ruvuma!!

Kassim_Majaliwa

Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa (Pichani)  anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani
Ruvuma, ambapo atawasili mkoani  hapo  leo saa tisa alasiri.

Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa
Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.

Aidha, siku ya jumatatu  atakuwa na shughuli za kufungua  tawi la Benki ya Posta mjini
Songea, kukagua  maghala ya Wakala wa Taifa wa  Hifadhi ya chakula  (NFRA) kanda ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOANI RUVUMA

WAZIRI MKUU Mhe Kassim Majaliwa   anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Ruvuma, ambapo atawasili mkoani  hapo  leo saa tisa alasiri.
Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.
Aidha, siku ya Jumatatu  atakuwa na shughuli za kufungua  tawi la Benki ya Posta mjini Songea, kukagua  maghala ya Wakala wa Taifa wa  Hifadhi ya chakula  (NFRA) kanda ya Songea...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AELEKEA RUVUMA KWA ZIARA YA KIKAZI YA WIKI MOJA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna wa Polisi Msaidizi Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 17, 2014 wakati akipanda ndege kuelekea mkoani Ruvuma kuanza ziara ya Kikazi ya wiki moja ambapo atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi. Kati kati ni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Hamisi Selemani, Kamanda wa Polisi katika Uwanja huo...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete kuanza ziara Tanga

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mkoani Tanga leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku nne mkoani hapa, itakayoambatana na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya nne atakazotembelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, kuanza leo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepeleka mashine 36 za teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Manispaa ya Mtwara (Mikindani) kukamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AHITIMISHA ZIARA YAKE YA MKOA WA RUVUMA

Na Othman Khamis Ame.OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali itaendelea na juhudi zake katika kuona mazao ya wakulima vijijini hasa chakula cha nafaka  yananunuliwa ili kuwaongezea uwezo wa kimapato wakulima hao katika kyukabiliana na ukali wa maisha. Balozi Seif alisema hayo wakati akizungumza na Wananc hi wa Kijiji cha Lugagala kwenye mkutano wa hadhara baada ya kushiriki kazi za ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kijiji hicho pamoja na kuweka jiwe la msingi...

 

11 years ago

Michuzi

JK AELEKEA MKOANI RUVUMA KWA ZIARA YA KIKAZI YA WIKI MOJA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Kamishna wa Polisi Msaidizi Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 17, 2014  wakati akipanda ndege kuelekea mkoani  Ruvuma kuanza ziara ya Kikazi ya wiki moja ambapo atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi. Kati kati ni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)  Hamisi Selemani, Kamanda wa Polisi katika Uwanja huo...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS DR MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA KAMPENI RUVUMA KUANZIA AUGUST 30

Picha kutoka maktaba
MGOMBEA Urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Dr. John Magufuli anatarajiwa kupokelewa na mamia ya wananchi wakiwemo wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Igawisenga wilayani Songea mkoa wa Ruvuma akitokea mkoa wa Njombe  tayari kuanza kampeni mkoani humo.Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ofisi za chama cha mapinduuzi mkoani Ruvuma Mwenyekiti wa  kamati ya maandilizi ya kampeni mkoani Ruvuma ya mgombea uraisi wa jamhuri ya mungano wa Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani