Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, kuanza leo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepeleka mashine 36 za teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Manispaa ya Mtwara (Mikindani) kukamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji wasuasua Mtwara, Iringa, Ruvuma

Uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) katika mikoa ya Iringa, Mtwara na Ruvuma umeanza kwa kusuasua huku ukikwama katika mikoa miwili.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtwara, Lindi, Ruvuma kuingia digitali mwakani

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mikoa yote ya Tanzania itakuwa imeunganishwa kwenye mfumo wa dijitali ifikapo Machi mwakani.

 

9 years ago

Michuzi

mpango wa kugawia wanafunzi vyandarua bure waanza mikoa la lindi, mtwara na ruvuma

Baadhi ya wanafunzi waliopata vyandarua katika  programu ya Rais ya uhamasishaji wa matumizi ya vyandarua kuzuia malaria kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na ugawaji wa vyandarua bure kupitia mashuleni imeanzia katika  mikoa ya Lindi , Mtwara na Ruvuma mwezi huu. Waalimu wakijiandaa kugawa vyandarua katika shule mkoani LindiWanafunzi wakichukua vyandarua kwa zamuWanafunzi wakifurahi kwa kupatiwa vyandarua vya bure

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA KUANZA ZIARA LINDI NA MTWARA



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana kuanza ziara ya mikoa ya Mtwara na Lindi

uh

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 16 MIKOA YA LINDI NA MTWARA, KESHO NOV 15

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape NnauyeKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahaman Kinana kesho November 15, 2014 anatarajia kuanza Ziara katika Mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara). Ziara hiyo ya Katibu Mkuu inategemea kuanza kesho katika wilaya ya Kilwa iliyopo Lindi na Kisha kuendelea katika wilaya zingine kwa takribani siku kumi na sita za kutembelea majimbo, kata, matawi na mashina ya Chama Cha Mapinduzi.
Ziara hii ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahaman Kinana ni muendelezo wa...

 

11 years ago

Michuzi

Kongamano la Viongozi wa Dini Mkoa wa Lindi na Mtwara laanza hii leo

Na Abdulaziz Video, Mtwara Kongamano kubwa la Viongozi wa Dini kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara lililoandaliwa na Wizara ya Nishati na Madini limeanza leo katika manispaa ya Mtwara/mikindani kwa Viongozi hao pamoja na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kwa kutembelea eneo la Mnazibay/Msimbati sehemu ambayo imegundulika gesi asilia pamoja kukagua ujenzi wa eneo la uchakataji wa Gesi hiyo. Katika ukaguzi huo Viongozi hao wakiongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Bw Eliakim Maswi baada...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza leo katika hospitali za rufaa mikoa ya Lindi na Mtwara

IMG_9315

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

IMG_9342

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani