Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji wasuasua Mtwara, Iringa, Ruvuma

Uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) katika mikoa ya Iringa, Mtwara na Ruvuma umeanza kwa kusuasua huku ukikwama katika mikoa miwili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, kuanza leo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepeleka mashine 36 za teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Manispaa ya Mtwara (Mikindani) kukamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtwara, Lindi, Ruvuma kuingia digitali mwakani

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mikoa yote ya Tanzania itakuwa imeunganishwa kwenye mfumo wa dijitali ifikapo Machi mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Ruvuma nayo kuunganishwa kwa reli ya Mtwara Corridor

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema kuwa Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa itakayonufaika na mradi wa ujenzi wa reli ya Mtwara Corridor utakaoanza mwakani na utakamilika mwaka 2018.

 

11 years ago

Michuzi

MIRADI MIKUBWA YA BARABARA KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA MTWARA KUSAINIWA KESHO

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kesho atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara itakayotekelezwa katika mikoa ya Ruvuma na Mtwara.   Miradi hiyo itahusisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya Namtumbo na Tunduru ambayo imegawanywa katika sehemi tatu ambazo ni Namtumbo – Kilimasera (km 68.20), Kilimasera – Matemanga (km 58.70) na Matemanga-Tunduru (km 60.70).   Tayari Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) ambayo inayofadhili...

 

9 years ago

Michuzi

mpango wa kugawia wanafunzi vyandarua bure waanza mikoa la lindi, mtwara na ruvuma

Baadhi ya wanafunzi waliopata vyandarua katika  programu ya Rais ya uhamasishaji wa matumizi ya vyandarua kuzuia malaria kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na ugawaji wa vyandarua bure kupitia mashuleni imeanzia katika  mikoa ya Lindi , Mtwara na Ruvuma mwezi huu. Waalimu wakijiandaa kugawa vyandarua katika shule mkoani LindiWanafunzi wakichukua vyandarua kwa zamuWanafunzi wakifurahi kwa kupatiwa vyandarua vya bure

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI

New Picture (13)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika hilo eneo la Napupa Mjini Masasi.New Picture (14)Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Bw. Paul Mkami(kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake ramani ya eneo la ardhi lililopewa NHC kwa ajili ya kujenga nyumba za gharama nafuu Wilayani humo.New Picture (15)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara

01

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. nyuma ya Katibu Mkuu (aliyesimama) ni Waziri wa Maji Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb).

03

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI‏

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika hilo eneo la Napupa Mjini Masasi. Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Bw. Paul Mkami(kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake ramani ya eneo la ardhi lililopewa NHC kwa ajili ya kujenga nyumba za gharama nafuu Wilayani humo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani