Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mpango wa kugawia wanafunzi vyandarua bure waanza mikoa la lindi, mtwara na ruvuma

Baadhi ya wanafunzi waliopata vyandarua katika  programu ya Rais ya uhamasishaji wa matumizi ya vyandarua kuzuia malaria kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na ugawaji wa vyandarua bure kupitia mashuleni imeanzia katika  mikoa ya Lindi , Mtwara na Ruvuma mwezi huu. Waalimu wakijiandaa kugawa vyandarua katika shule mkoani LindiWanafunzi wakichukua vyandarua kwa zamuWanafunzi wakifurahi kwa kupatiwa vyandarua vya bure

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtwara, Lindi, Ruvuma kuingia digitali mwakani

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mikoa yote ya Tanzania itakuwa imeunganishwa kwenye mfumo wa dijitali ifikapo Machi mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, kuanza leo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepeleka mashine 36 za teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Manispaa ya Mtwara (Mikindani) kukamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu.

 

11 years ago

Michuzi

MIRADI MIKUBWA YA BARABARA KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA MTWARA KUSAINIWA KESHO

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kesho atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara itakayotekelezwa katika mikoa ya Ruvuma na Mtwara.   Miradi hiyo itahusisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya Namtumbo na Tunduru ambayo imegawanywa katika sehemi tatu ambazo ni Namtumbo – Kilimasera (km 68.20), Kilimasera – Matemanga (km 58.70) na Matemanga-Tunduru (km 60.70).   Tayari Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) ambayo inayofadhili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana kuanza ziara ya mikoa ya Mtwara na Lindi

uh

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI WA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unaendelea kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili waweze  kutumia vyombo vya habari vilivyoko kwenye maeneo yao kutangaza habari za Mpango wa kunusuru kaya masikini unaoratibiwa naMfuko huo.
Akifungua mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa utaratibu wa Kikao Kazi Mkurugenzi Mtendajiwa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga amesema kazi ya kutokomeza umaskini nchini inahitaji ushiriki wa wadau mbalimbali vikiwemo vyombo vya habari.
Bwana Mwamanga amesema tangu TASAF...

 

10 years ago

Mwananchi

Nakala za Katiba zinavyogeuka lulu mikoa ya Lindi, Mtwara

Baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kuahirisha Kura ya Maoni kwa ajili ya Katiba Inayopendekezwa iliyopangwa kufanyika Aprili 30 mwaka huu, wadau mbalimbali walitoa maoni wakitaka fursa hiyo itumike kwa ajili ya kuzigawa nakala za katiba hiyo na kuzisambaza maeneo mbalimbali nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani