Kikwete kuhutubia Bunge leo
BUNGE la 10 linamaliza shughuli zake leo kabla ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia na kulivunja mjini hapa. Rais atahutubia Bunge hilo saa 10:00 jioni baada ya kukagua gwaride la heshima, lililoandaliwa na Jeshi la Polisi katika viwanja vya Bunge mjini hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Rais Kikwete kuhutubia Bunge la Kenya
9 years ago
Habarileo07 Oct
Kikwete aaga Kenya kwa kuhutubia Bunge
RAIS Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge la Kenya na kuwaaga wananchi wa Kenya huku akisisitiza ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya kwamba utadumu milele. Aidha, amesema anaamini Wakenya watakuwa wamepata fundisho kutokana na machafuko yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka 2007 na hawatarudia tena.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMmAS1BQkEGTD8e*rHSeARI*9z62YxXuylWSL9L3rDDExO2tmfIGk4S9VzW2vvt1E*lwoilnBUzXYKTTQPzxMILu/ikulu.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Mtanzania19 Dec
Rais Kikwete kuhutubia taifa leo
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kuhutubia taifa kupitia wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Katika mkutano wake huo utakaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini humo, pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuzungumzia mwelekeo wa taifa.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Abilahi Mihewa, alithibisha kufanyika kwa mkutano huo.
“Unajua katika siku za hivi karibuni Rais alikuwa nje ya...
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Jaji Warioba kuhutubia Bunge