Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete kuhutubia taifa leo

kk

 

Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kuhutubia taifa kupitia wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Katika mkutano wake huo utakaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini humo, pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuzungumzia mwelekeo wa taifa.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Abilahi Mihewa, alithibisha kufanyika kwa mkutano huo.
“Unajua katika siku za hivi karibuni Rais alikuwa nje ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM,RAIS KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA,KUHUTUBIA TAIFA MCHANA

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete  akiwapungia mkono baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa kuhutubia taifa leo

lowassa-1NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, leo saa tatu usiku anatarajiwa kulihutubia taifa.

Kwa mujibu taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, hotuba ya Lowassa kupitia vituo mbalimbali vya televisheni, redio na njia nyingine za upashanaji habari ikiwamo mitandao ya kijamii,...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kuhutubia Bunge leo

Rais Jakaya Kikwete.BUNGE la 10 linamaliza shughuli zake leo kabla ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia na kulivunja mjini hapa. Rais atahutubia Bunge hilo saa 10:00 jioni baada ya kukagua gwaride la heshima, lililoandaliwa na Jeshi la Polisi katika viwanja vya Bunge mjini hapa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete kuhutubia Bunge la Kenya

Rais Kikwete atahutubia bunge la Kenya Jumanne wiki ijayo huku akiendelea kujiandaa kuondoka mamlakani.

 

10 years ago

GPL

IKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete . Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imekanusha taarifa iliyoandikwa mitandaoni na magazetini kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo atalihutubia taifa. Taarifa sahii ni kwamba Rais atalihutubia taifa siku ya Jumatatu, Desemba 22 mwaka huu muda…

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 20, 2014, amewasili mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambako miongoni mwa mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi na atahutubia Bunge Maalum la Katiba kesho, Ijumaa, Machi 21, 2014. Muda mfupi baada ya kuwa amewasili na kulakiwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kwenye Uwanja wa Ndege...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani