Rais Kikwete kuhutubia Bunge la Kenya
Rais Kikwete atahutubia bunge la Kenya Jumanne wiki ijayo huku akiendelea kujiandaa kuondoka mamlakani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo07 Oct
Kikwete aaga Kenya kwa kuhutubia Bunge
RAIS Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge la Kenya na kuwaaga wananchi wa Kenya huku akisisitiza ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya kwamba utadumu milele. Aidha, amesema anaamini Wakenya watakuwa wamepata fundisho kutokana na machafuko yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka 2007 na hawatarudia tena.
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Habarileo09 Jul
Kikwete kuhutubia Bunge leo
BUNGE la 10 linamaliza shughuli zake leo kabla ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia na kulivunja mjini hapa. Rais atahutubia Bunge hilo saa 10:00 jioni baada ya kukagua gwaride la heshima, lililoandaliwa na Jeshi la Polisi katika viwanja vya Bunge mjini hapa.
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI KUHUTUBIA BUNGE NA KULIVUNJA KESHO
Bunge hilo lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akifungua Bunge hilo, Rais Magufuli aliainisha viapaumbele kadhaa vya Serikali yake ikiwemo kupambana na rushwa, kukusanya kodi, kupunguza urasimu...
9 years ago
VijimamboRais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge nchini Kenya