Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge nchini Kenya
![](http://2.bp.blogspot.com/-a6810WiT-jg/VhRYaIsJaFI/AAAAAAAAJxk/8oiF1Sew8iU/s72-c/Jakaya-Kikwete2.jpg)
Photo Credits: Citizentv.co.ke Rais Kikwete amesema anashukuru na kwake ni heshima ya kipekee, amesema matatizo ya Kenya ni matatizo ya Tanzania
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Rais Jakaya Kikwete kulihutubia Bunge Julai 9
10 years ago
Dewji Blog03 Jul
Rais Jakaya Kikwete: Tutaendelea kupambana na Malaria na kubaki kuwa historia nchini
![Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0383.jpg)
Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.
Na Benedict Liwenga-MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefurahishwa na uzinduzi wa Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya kuua viluwiluwi vya mbu...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/pPk-GXrSMhY/default.jpg)
11 years ago
Michuzi22 Mar
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-2JnO7FTNtyM/Xuh4le5BE1I/AAAAAAABMZI/BB5bAv3rv6Q-qJ2cnqaVyf8K4g35AUkSACLcBGAsYHQ/s72-c/jpm.jpeg)
RAIS MAGUFULI AKIHUTUBIA BUNGE JIJINI DODOMA LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-2JnO7FTNtyM/Xuh4le5BE1I/AAAAAAABMZI/BB5bAv3rv6Q-qJ2cnqaVyf8K4g35AUkSACLcBGAsYHQ/s400/jpm.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-5GkXsF0Q8mA/Xuh4lOWZrHI/AAAAAAABMZQ/OfHvrNESFasZU5MVOGnSam6DQrqRPuPpgCLcBGAsYHQ/s400/Viongozi.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-f-I7V41Hu3A/Xuh4lDW8BpI/AAAAAAABMZM/rQ8denrrosI2KBrXpgOKaxIgrkt8e73nQCLcBGAsYHQ/s400/EanfF5kXYAAe-71.jpeg)
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
News Alert!!:Rais Jakaya Kikwete amuumbua Afisa SUMATRA! awalipua kwa kuchochea migogoro nchini
Rais Dk. Jakaya Kikwete.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete amemuumbua mtendaji wa SUMATRA nchini kwa kile alichokieleza kuwa anakibagua chama kipya cha madereva hali ambayo inasababisha madereva hao kukosa mikataba yao na kusabisha mifarakano baina ya madereva na waajili.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini (SUMATRA), Dk Oscar Kikoyo alijikuta katika wakati mgumu pale Rais JK...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-i1daOkmjRaY/VGnpDhuCrpI/AAAAAAADIXY/77gy3kIpjwY/s72-c/0L7C0523.jpg)
JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN AMJULIA HALI RAIS JAKAYA KIKWETE NCHINI MAREKANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-i1daOkmjRaY/VGnpDhuCrpI/AAAAAAADIXY/77gy3kIpjwY/s1600/0L7C0523.jpg)
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Rais Kikwete kuhutubia Bunge la Kenya