Kikwete kupokea Kifimbo cha Malkia leo
Rais Jakaya Kikwete leo atapokea kifimbo cha Malkia kilichotua nchini jana mchana kikiongozwa na mchezaji wa zamani wa Kenya, Kipchoge Keino.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Kikwete kupokea Kifimbo cha Malkia
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Kifimbo cha Malkia kutua leo
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Kifimbo cha malkia na ujinga wa utandawazi
IPO dhana ya kwamba kutawaliwa kulichangia maendeleo ya Bara la Afrika, ikiwemo nchi yetu ya Tanzania. Vilevile wapo wanaodhani kwamba mawazo ya kupenda kutawala, yaani sehemu moja kuinyang’anya sehemu nyingine...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Kifimbo cha Malkia kufika Zanzibar
KIFIMBO cha Malkia wa Uingereza (QBR), kinatarajiwa kuwasili nchini kikitokea Kigali, Rwanda kupitia Nairobi, Kenya Januari 18 mwakani, kikitarajiwa pia kukimbizwa visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu...
10 years ago
Habarileo15 Jun
Obama kupelekewa ‘kifimbo’ cha Nyerere
RAIS wa Marekani, Barack Obama anatarajiwa kuwa kiongozi wa tatu duniani kuanza kubeba kifimbo kama kile cha Mwalimu Nyerere ambacho tayari kimechongwa kwa ajili yake na msanii yule yule aliyetengeneza fimbo ya Baba wa Taifa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3KGM3KZVxz6AaRMTtrS*DwZPByArP3uvO1cNKGEP7ctrCyrsXBEzIJXxrWO5rVGF-qgyMwv0b0OKAWaNGTDKjSx05tgMNe6R/ny10st4.jpg?width=650)
KIFIMBO CHA MWALIMU NYERERE KILIKUWA NA NGUVU FULANI?